in red, sehemu zenye pumziko la ukweli kuzipata maisha ya leo ni ishu....
uvumilivu unamuhusu, ila umri unakimbia nao...
Hilo la umri pia ndilo linalonichanganya zaidi na ndo maana nimeamua kutojisumbua kuwa na mahusiano mengine. Bora tu niwe single for the rest of my life.
Anyway thanks mkuu.
Hilo la umri pia ndilo linalonichanganya zaidi na ndo maana nimeamua kutojisumbua kuwa na mahusiano mengine. Bora tu niwe single for the rest of my life.
Anyway thanks mkuu.
kwani una umri gani mkuu hadi ukate tamaa kiasi hicho?mbona wakina malecela wameoa wakiwa na 60+?
Nina kama 30 kwa sasa na nilichelewa kutokana na kujufanya kuwa busy na masomo ila elimu haina mwisho, nikaamua kujitsfutia wangu wa ubani ila ndo hivyo tena nimeangukia pua. sina ham kabisa.