Shanily
JF-Expert Member
- Nov 4, 2024
- 856
- 1,662
Mtoto wa nyoka ni nyoka ndo maneno ya binadamu.
Sometimes Bora rafiki kuliko ndugu wa damu.
Ubaya ukizidi sana unakosa hata tabasamu.
Dar es salaam kutesa kwa zamu.
Yaani Bado siamini kama wamenimwagia sumu.
Lengo lao wanipeleke kuzimu.
Hawana nidhamu, nami nazifikisha salamu.
Wajiandae lasivyo wataiona jehanamu.