Nambo gani haya!Mtoto wa nyoka ni nyoka ndo maneno ya binadamu.
Sometimes Bora rafiki kuliko ndugu wa damu.
Ubaya ukizidi sana unakosa hata tabasamu.
Dar es salaam kutesa kwa zamu.
Yaani Bado siamini kama wamenimwagia sumu.
Lengo lao wanipeleke kuzimu.
Hawana nidhamu, nami nazifikisha salamu.
Wajiandae lasivyo wataiona jehanamu.
Anywe na coca ya baridi ashushe presha pia. Maana maandishi yameandikwa kwa lugha flan flan hivi😂Mkuu taratibu. Kunywa maji na ushushe pumzi utueleze kwa undani nini tatizo
Na huwezi waivishaKuna familia ndugu haziivi, hili ni janga duniani