Bora shule ama kazi?

ukitaka kujua shule haina maana watu wote waliofanya ugunduzi wa mambo mbalimbali duniani ni watu ambao hawakwenda shule au waliachia njiani.
Unamfahamu Elion Musk?? Unajua alifika mpaka level gani?? unamfahamu mgunduzi wa amazon unajua alifka level gani??
 
Shule kazi Biashara ..... Ngoja nijaribu kuendana nazo zote Muda haujanibana sana .... Ntarudi kwa Mrejesho ....start:25 September 2017

Fursa2017
 
Mkuu unatolea mfano wa mbali, kila mtu atasoma hadi uprofesa?
 
Mkuu unatolea mfano wa mbali, kila mtu atasoma hadi uprofesa?

Mkuu,
Pana mtu nimemjibu hapo page ya 1.
Angalia comment yangu namba #18.

Utaelewa alichouliza na nilichomjibu ndiyo kimefikia hapo kwenye uprofesa.
 
Unamfahamu Elion Musk?? Unajua alifika mpaka level gani?? unamfahamu mgunduzi wa amazon unajua alifka level gani??
Acha ubishi mkuu, watu wengi innovative & creative hapa duniani waliachana na shule, hasa hizi elimu zetu zilizo base darasani then mtu unapewa mtihani na kuzawadiwa kacheti, alafu badae unakuja kusubiri ajira kuendeshwa kama robot usijue unachofanya wala unakoelekea. Mifano hai..

Newton ali drop up chuo ili kutafuta freedom of mind, badae alikuja ku come up na ugunduzi uliotikisa dunia.
Bill gates ali drop up chuo akaja gundua microsoft.
Warren Buffet aliachana na shule kabiasa akiwa pre- teenager.
Neil Bohr ali drop up chuo, huyu ni moja kati ya mapapa wa atomic physics.
Mark Zuckerberg the same.
Steve jobs ali drop up chuo na kuja kugundua apple.
Larry Page with his patner in co-founding google wali drop up phd program na kuja kugundua google.
Na wengine wengi.............

My take

Ku drop up chuo sio u genous wala sifa, ila kwa mtu anayejitambua atagundua kwamba mifumo ya elimu haijalenga kumpa mwanafunzi space ya kufikiria na kutanua wigo wa mawazo bali humfanya mwanafunzi awe mfuasi na mtumwa wa fikra fulani ambazo huzifuata bila kuhoji u validity ,originality & mode of working, ukiwa darasani mara nyingi utasikia mwalimu anasema " usisome hivyo haviji kwenye mtihani", hapo utagundua unasomea cheti ili uje utafute ajira uendeshwe na wala husomei kutumia ili upate nafasi ya kuhoji & kurekebisha , hivyo kwa mtu anayejitambua hawezi kua kuendelea na huu mfumo wa kitumwa wa mawazo.

Vivid evidence

Ukiangalia katika jamii za kiafrika "The so called educated people are the most problematic people in the society"
Chukulia mfano ma profesa wetu wa Tanzania, prof. Lipumba kasababisha political instability kubwa, ambayo inaumiza tu wanainchi wa hali ya chini.
Prof. Tibaijuka, one of the most corrupt educated people, mtu msomi unashindwa kua compasionate, unachukua mamilioni ya fedha unasema za mboga wakati kuna watu wanalala njaa.
Prof. Ndalichako, hana ata creativity wizara ya elimu anazua tu migogoro badala ya ku solve.
Yule waziri wa viwanda naye ana phd but very problematic and a pretty liar.
Wassira naye.......
Chenge......

Shule ya darasani haimbadilishi mtu bali humfanya awe mtumwa wa fikra na mzuri katika kufuata sheria (playing safe with life).

Elimu nzuri iko Library, Laboratory, Field and in life circumstances, tofauti na hapo ni kutengeneza watumwa, wafuasi na waoga.
 
Nikweli kabisa ....[emoji818][emoji818][emoji818]

Fursa2017
 
Mkuu mbona umesha jijibu.

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Kama una ng'ombe unamkamua na anatoa maziwa, usimchinje kwanza. I hope umenielewa. Achana na mambo ya shule. Tunasoma ili tupate kazi. Sasa kama una kazi unataka shule ya nini ihali wasomi kibao tumejaa mtaani hakuna ajira?
 
Kama una ng'ombe unamkamua na anatoa maziwa, usimchinje kwanza. I hope umenielewa. Achana na mambo ya shule. Tunasoma ili tupate kazi. Sasa kama una kazi unataka shule ya nini ihali wasomi kibao tumejaa mtaani hakuna ajira?
Strong Point ....bigaup sana ......

Fursa2017
 
Kijana fanya kazi kwa sasa hivi kama unayo..... achana na kwenda kusoma kwa sasa hela yako nenda kasave Bank umesha sema mwenyew hiyo Ajira haina guarantee siku itakapo kuwa imekwisha sasa nenda kasome elimu haina mwisho wala umri.

Kwani Elimu ya Mtanzania haimsaidi MTU hakiwa Hana KAZI ya kuajiriwa inakuwa Elimu yake useless nakama wapo Elimu yake inamsaidia nje ya AJIRA basi ni laabda 2% .

Zimwi likujualo......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…