Unamfahamu Elion Musk?? Unajua alifika mpaka level gani?? unamfahamu mgunduzi wa amazon unajua alifka level gani??
Acha ubishi mkuu, watu wengi innovative & creative hapa duniani waliachana na shule, hasa hizi elimu zetu zilizo base darasani then mtu unapewa mtihani na kuzawadiwa kacheti, alafu badae unakuja kusubiri ajira kuendeshwa kama robot usijue unachofanya wala unakoelekea. Mifano hai..
Newton ali drop up chuo ili kutafuta freedom of mind, badae alikuja ku come up na ugunduzi uliotikisa dunia.
Bill gates ali drop up chuo akaja gundua microsoft.
Warren Buffet aliachana na shule kabiasa akiwa pre- teenager.
Neil Bohr ali drop up chuo, huyu ni moja kati ya mapapa wa atomic physics.
Mark Zuckerberg the same.
Steve jobs ali drop up chuo na kuja kugundua apple.
Larry Page with his patner in co-founding google wali drop up phd program na kuja kugundua google.
Na wengine wengi.............
My take
Ku drop up chuo sio u genous wala sifa, ila kwa mtu anayejitambua atagundua kwamba mifumo ya elimu haijalenga kumpa mwanafunzi space ya kufikiria na kutanua wigo wa mawazo bali humfanya mwanafunzi awe mfuasi na mtumwa wa fikra fulani ambazo huzifuata bila kuhoji u validity ,originality & mode of working, ukiwa darasani mara nyingi utasikia mwalimu anasema
" usisome hivyo haviji kwenye mtihani", hapo utagundua unasomea cheti ili uje utafute ajira uendeshwe na wala husomei kutumia ili upate nafasi ya
kuhoji & kurekebisha , hivyo kwa mtu anayejitambua hawezi kua kuendelea na huu mfumo wa kitumwa wa mawazo.
Vivid evidence
Ukiangalia katika jamii za kiafrika
"The so called educated people are the most problematic people in the society"
Chukulia mfano ma profesa wetu wa Tanzania, prof. Lipumba kasababisha political instability kubwa, ambayo inaumiza tu wanainchi wa hali ya chini.
Prof. Tibaijuka, one of the most corrupt educated people, mtu msomi unashindwa kua compasionate, unachukua mamilioni ya fedha unasema za mboga wakati kuna watu wanalala njaa.
Prof. Ndalichako, hana ata creativity wizara ya elimu anazua tu migogoro badala ya ku solve.
Yule waziri wa viwanda naye ana phd but very problematic and a pretty liar.
Wassira naye.......
Chenge......
Shule ya darasani haimbadilishi mtu bali humfanya awe mtumwa wa fikra na mzuri katika kufuata sheria (playing safe with life).
Elimu nzuri iko Library, Laboratory, Field and in life circumstances, tofauti na hapo ni kutengeneza watumwa, wafuasi na waoga.