GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Siku zote mfa maji hakosi kutapa tapa"View attachment 2256012
Hii nchi uhuru umezidi hadi watu wanafanya upumbavu makusudi kabisa kombe gani muonekano kama vikombe vya divai au muonekano kama nguzo za umeme
Shock up za gari[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2256012
Hii nchi uhuru umezidi hadi watu wanafanya upumbavu makusudi kabisa kombe gani muonekano kama vikombe vya divai au muonekano kama nguzo za umeme
Akili hiyo waitoe wapi Majuha kama hao Pichani Mkuu? Angalia tu Sura zao zilivyo utajua kuwa ni Empty Sets kabisa na bahati mbaya pia Wote hao ni Wana Yanga SC lia lia hasa huyo Almasi Kassongo.Afadhali wangekopi hata muonekano wa kombe la dunia basi.
View attachment 2256015
Mkuu nimecheka mpaka basi. JamiiForums ni raha sana asikudanganye Mtu.kombe utazani kitako cha rocket
Yanga hawana shida na kombe hata wangepewa sufuria, zinatakiwa zile million 600 na tittle Yanga ndio mabingwa na inakwenda kushiriki klabu bingwa Africa.Hivi kweli Bodi ya Ligi ndiyo walikaa kabisa wakaona kuwa Kombe lile baya la Bingwa wa Ligi Kuu ya NBC walilolitambulisha jana ndiyp litumike? Katika Maisha yangu yote ya Soka ( Mpira ) sijawahi Kukutana ( Kuona ) Kombe baya na bovu kama lile lililotambulishwa Jana na ambalo Yanga SC wanaenda ( wanatarajiwa ) Kukabodhiwa.
Nawapongeza sana Simba SC kwa Makusudi kabisa kutohangaika kwa Ubingwa wa Mwaka huu kwani kwa Ukubwa wa Timu yao na Hadhi waliypnayp ingekuwa ni Aibu wao Kubeba Kombe ambalo halina hata Mvuto na linaloonekana pia kuwa kama vile lina Nuksi Nuksi fulani.
Tuvumiliane japo najua kuwa tutanuniana mno mwaka huu Kudadadeki.
Kucheka ni tiba, ila ukiona unacheka hovyo unahitaji tiba.Mkuu nimecheka mpaka basi. JamiiForums ni raha sana asikudanganye Mtu.
Absolutely Nonsense.Yanga hawana shida na kombe hata wangepewa sufuria, zinatakiwa zile million 600 na tittle Yanga ndio mabingwa na inakwenda kushiriki klabu bingwa Africa.
Hayo mengine ni yenu hamkatazwi kuweweseka, hata farasi kabla ya kufa huwa kuna last kick of dying horse.
Liliandaliwa Maalum kwa Mapopoma wa Maafurikoni ambao Wiki ijayo au Wiki hii wanaenda Kutawazwa kuwa Mabingwa.Kombe katikati lina skruu na nati.kwenye mikoni kuna ncha za mishale.
Hayo majina mengine tuiteni tu ila mjue tuko juu yenu tunawapumulia , mkatae.Liliandaliwa Maalum kwa Mapopoma wa Maafurikoni ambao Wiki ijayo au Wiki hii wanaenda Kutawazwa kuwa Mabingwa.
Afadhali wangekopi hata muonekano wa kombe la dunia basi.
View attachment 2256015
Umenikumbusha mbali sana mkuu!SIZITAKI MBICHI HIZI
Hadithi inayokuja, ni ya Sungura sikia,
Hadithi uliyongoja, leo ninakuletea,
Alitoka siku moja, njaa aliposikia,
Njaa aliposikia, Sungura nakuambia
Siku ile akaenda, Porini kutembelea,
Akayaona matunda, mtini yameenea,
Sungura akayapenda, mtini akasogea,
Mtini akasogea, Sungura nakuambia.
Sungura karukaruka, lakini hakufikia,
Matunda hakuyashika, mikononi hakutia,
Hakika alisumbuka, nguvuze zikapungua,
Nguvuze zikapungua Sungura nakuambia.
Mtazame hapo juu Sungura amelegea,
Mtazame na miguu, matunda anarukia,
Atafanya sikukuu, matunda akifikia,
Matunda akifikia, Sungura nakuambia.
Karuka tena karuka, matunda akarukia,
Mwisho Wave akachoka, kachoka hata mk-Ia,
Penye mti akatoka, pembeni akasogea,
Pembeni akasogea, Subgura nakuambia.
“Sizitaki mbichi hizi” Sungura akagumia,
“Naona nafanya kazi, bila faida kujua”,
Yakamtoka machozi matunda akalilia,
Matunda akalilia, Sungura nakuambia.
Sio kama hakutaka, sasa nakupasulia,
Matunda aliyataka, ndiyo kisa akalia
Tunajua hakufika, alichoka kurukia,
Alichoka kurukia, Sungura nakuambia.
Hadithi nimemaliza, nimekwisha simulia,
Jambo moja sikiliza, rafiki yangu sikta,
Usikose kujikaza, mazuri kukazania,
Utamshinda Sungura, utapata mbivu hizi.