Bora Simba SC haitakuwa (haijawa) Bingwa mwaka huu kwani ingekuwa ni Aibu Kwao kupokea Kombe 'baya' lililotambulishwa jana

Bora Simba SC haitakuwa (haijawa) Bingwa mwaka huu kwani ingekuwa ni Aibu Kwao kupokea Kombe 'baya' lililotambulishwa jana

Hivi kweli Bodi ya Ligi ndiyo walikaa kabisa wakaona kuwa Kombe lile baya la Bingwa wa Ligi Kuu ya NBC walilolitambulisha jana ndiyp litumike? Katika Maisha yangu yote ya Soka ( Mpira ) sijawahi Kukutana ( Kuona ) Kombe baya na bovu kama lile lililotambulishwa Jana na ambalo Yanga SC wanaenda ( wanatarajiwa ) Kukabodhiwa.

Nawapongeza sana Simba SC kwa Makusudi kabisa kutohangaika kwa Ubingwa wa Mwaka huu kwani kwa Ukubwa wa Timu yao na Hadhi waliypnayp ingekuwa ni Aibu wao Kubeba Kombe ambalo halina hata Mvuto na linaloonekana pia kuwa kama vile lina Nuksi Nuksi fulani.

Tuvumiliane japo najua kuwa tutanuniana mno mwaka huu Kudadadeki.
Tatizo sio ubaya wa kombe bali msimu huu hamna mnachoshindania mpaka sasa
 
kombe utazani kitako cha rocket
Hahahaaaa
IMG-20220611-WA0000.jpg
 
Sungura karukaruka,[emoji445][emoji445]
Mtini hakufikia,[emoji445][emoji445]
Sijuinini sijuinini [emoji445][emoji445]
Sizitaki mbichi hizi[emoji445][emoji445]
 
View attachment 2256012
Hii nchi uhuru umezidi hadi watu wanafanya upumbavu makusudi kabisa kombe gani muonekano kama vikombe vya divai au muonekano kama nguzo za umeme
Ila kusema ukweli hili kombe lina muonekano mbaya! Hii ni takaaka ambayo hata ukienda kuitoa kwenye mashindano ya Ndondo Cup, bado watalikataa!

Bora Yanga ikakubali kuchukua fedha na medali! Huu uchafu wawaachie walio linunua.
 
SIZITAKI MBICHI HIZI

Hadithi inayokuja, ni ya Sungura sikia,
Hadithi uliyongoja, leo ninakuletea,
Alitoka siku moja, njaa aliposikia,
Njaa aliposikia, Sungura nakuambia

Siku ile akaenda, Porini kutembelea,
Akayaona matunda, mtini yameenea,
Sungura akayapenda, mtini akasogea,
Mtini akasogea, Sungura nakuambia.

Sungura karukaruka, lakini hakufikia,
Matunda hakuyashika, mikononi hakutia,
Hakika alisumbuka, nguvuze zikapungua,
Nguvuze zikapungua Sungura nakuambia.

Mtazame hapo juu Sungura amelegea,
Mtazame na miguu, matunda anarukia,
Atafanya sikukuu, matunda akifikia,
Matunda akifikia, Sungura nakuambia.

Karuka tena karuka, matunda akarukia,
Mwisho Wave akachoka, kachoka hata mk-Ia,
Penye mti akatoka, pembeni akasogea,
Pembeni akasogea, Subgura nakuambia.

“Sizitaki mbichi hizi” Sungura akagumia,
“Naona nafanya kazi, bila faida kujua”,
Yakamtoka machozi matunda akalilia,
Matunda akalilia, Sungura nakuambia.

Sio kama hakutaka, sasa nakupasulia,
Matunda aliyataka, ndiyo kisa akalia
Tunajua hakufika, alichoka kurukia,
Alichoka kurukia, Sungura nakuambia.

Hadithi nimemaliza, nimekwisha simulia,
Jambo moja sikiliza, rafiki yangu sikta,
Usikose kujikaza, mazuri kukazania,
Utamshinda Sungura, utapata mbivu hizi.
Dah!... umenikumbusha mbali sana.....Safi Sana
 
Back
Top Bottom