Bora Simba SC haitakuwa (haijawa) Bingwa mwaka huu kwani ingekuwa ni Aibu Kwao kupokea Kombe 'baya' lililotambulishwa jana

Tatizo sio ubaya wa kombe bali msimu huu hamna mnachoshindania mpaka sasa
 
Sungura karukaruka,[emoji445][emoji445]
Mtini hakufikia,[emoji445][emoji445]
Sijuinini sijuinini [emoji445][emoji445]
Sizitaki mbichi hizi[emoji445][emoji445]
 
View attachment 2256012
Hii nchi uhuru umezidi hadi watu wanafanya upumbavu makusudi kabisa kombe gani muonekano kama vikombe vya divai au muonekano kama nguzo za umeme
Ila kusema ukweli hili kombe lina muonekano mbaya! Hii ni takaaka ambayo hata ukienda kuitoa kwenye mashindano ya Ndondo Cup, bado watalikataa!

Bora Yanga ikakubali kuchukua fedha na medali! Huu uchafu wawaachie walio linunua.
 
Dah!... umenikumbusha mbali sana.....Safi Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…