The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Ingetokea wameshinda. Yaani ingekiwa samia Samia samia. Makelele kibao. Kwa kweli tusingepumua.
Kwa sasa.CCM hawana agenda maalumu tofauti na propaganda kuhadaa watu. Mara wajishike kwa wasanii. Mara.chadema wanaleta ebora kifupi ni siasa za maji taka.
Ila.mambo haya yana mwisho wake hasa kipindi hiki cha technology. Pamoja na vi EFM radio vyetu kuchambua mpira masaa 24 kwa kama mojawapo ya propaganda kwa matokeo ya jana wamekuwa mabubu.