The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Sure .wanajua hakabi.mianya yao.kwa hiyo wamemua kumsifia ili wazidi kupiga yaani mpaka anapoondoka they are billionaires.ndo maana wamempitisha harakaharaka kinyume .na utaratibu..Wanamtukuza sana yule Maza
Kabisa aiseSure .wanajua hakabi.mianya yao.kwa hiyo wamemua kumsifia ili wazidi kupiga yaani mpaka anapoondoka they are billionaires.ndo maana wamempitisha harakaharaka kinyume .na utaratibu..
Na kumuabudu.Wanamtukuza sana yule Maza
Hadi inakeraNa kumuabudu.
MwanFA angeenda kwapokea airport na kumpongeza mama aha .ha ha ha ha 😂Bora, saa hizi ingekuwa ni wimbo wa "mama" tu
Wale kina zimbwe wangeshuka airport wote wanmshukuru mamaIngetokea wameshinda. Yaani ingekiwa samia Samia samia. Makelele kibao. Kwa kweli tusingepumua.
Kwa sasa.CCM hawana agenda maalumu tofauti na propaganda kuhadaa watu. Mara wajishike kwa wasanii. Mara.chadema wanaleta ebora kifupi ni siasa za maji taka.
Ila.mambo haya yana mwisho wake hasa kipindi hiki cha technology. Pamoja na vi EFM radio vyetu kuchambua mpira masaa 24 kwa kama mojawapo ya propaganda kwa matokeo ya jana wamekuwa mabubu.
hata hivyo tunamshukuru mama kwa hizo goli 2 uwenda tungekufa goli hata 5Ingetokea wameshinda. Yaani ingekiwa samia Samia samia. Makelele kibao. Kwa kweli tusingepumua.
Kwa sasa.CCM hawana agenda maalumu tofauti na propaganda kuhadaa watu. Mara wajishike kwa wasanii. Mara.chadema wanaleta ebora kifupi ni siasa za maji taka.
Ila.mambo haya yana mwisho wake hasa kipindi hiki cha technology. Pamoja na vi EFM radio vyetu kuchambua mpira masaa 24 kwa kama mojawapo ya propaganda kwa matokeo ya jana wamekuwa mabubu.
Ndiyo kazi yake kuu inayo halarisha uwaziri wake!MwanFA angeenda kwapokea airport na kumpongeza mama aha .ha ha ha ha [emoji23]