Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tafuta chakula mdogo wangu,mambo ya ccm yatakuvuruga.Anawashushua mmoja mmoja, poleni sana.
Hasubiri mapambio....
tafuta chakula mdogo wangu,mambo ya ccm yatakuvuruga.
hivi unajua kwamba makonda,bashiru,polepole wamerudi kijijini kwao kulima[emoji23][emoji23].
au hujaambiwa bado.
tumeanza 2015 yeye akiwa makamu.Ni wazi anataka muanze kufanya kazi sio haya mambo ya buku saba.
mwenda zake hakuwa wa mchezomchezo,ni sawa tu au alimzidi unyama Moi wenu au level moja na Mzee Kenyatta...nani angekohoa?Ndio uzuri wa elimu, kwamba hamshikiliwi akili na mtu mmoja, leo hii Tanzania ndio kama kila kiongozi amerejeshewa ubongo, kipindi cha JPM nyote mlikua full mapambio hata akisema corona haipo na haijawahi kuwepo na imeisha kwa maombi mnaitikia amina. Sijui ni athari za ujamaa hufanya watu wawe kama misukule au nini, kwamba hakuna mwenye jeuri ya kuhoji chochote.
Japo pia mfumo wa elimu ni hovyo sana, hao hapo vijana wa mjini hawajui Oktoba mwezi wa ngapi.....channel ya huyo jamaa huwa naifuatilia na kucheka sana sio kwa majibu yenu.