Ndio uzuri wa elimu, kwamba hamshikiliwi akili na mtu mmoja, leo hii Tanzania ndio kama kila kiongozi amerejeshewa ubongo, kipindi cha JPM nyote mlikua full mapambio hata akisema corona haipo na haijawahi kuwepo na imeisha kwa maombi mnaitikia amina. Sijui ni athari za ujamaa hufanya watu wawe kama misukule au nini, kwamba hakuna mwenye jeuri ya kuhoji chochote.
Japo pia mfumo wa elimu ni hovyo sana, hao hapo vijana wa mjini hawajui Oktoba mwezi wa ngapi.....channel ya huyo jamaa huwa naifuatilia na kucheka sana sio kwa majibu yenu.