Bora tusepe zetu Hispania & Italy

Bora tusepe zetu Hispania & Italy

OllaChuga Oc

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
21,569
Reaction score
24,812
Mambo vipi wakuu, kwema? Kuna mchongo wa kuzamia Hispania au Italy kusaka maisha (kwa wale wanaopenda kwenda abroad either kusoma, kutafuta kazi.) Hasa Spain ndo uhakika zaidi ila changamoto iliyopo ni kwamba pale Spain embassy wanataka atleast mtu mwenye umri wa kuanzia miaka 30 hivi na mimi nina 25 sasa ..so kama kuna raia yupo interested mwenye na umri huo anicheki pm nimpe maelekezo nini cha kufanya.

Kama tukifanikiwa hata mwezj ujao yani October tunaeza sepa tu; hapa Bongo jua kali, ajira hakuna mitaji nayo haikui. Wazee wa vitengo wanakaba kinoma ukianzisha kabiashara kako hakana hata miezi miwili tayari washatia timu, wanataka chao.

Bora tusepe zetu mbele tukabebe ata box tu fresh.

Nipo siriyaz wakuu wakike na kiume.
 
Yaani ukifungua tu bizness jamaa wanataka service leavy ya mwaka mzima. Ila kuzamia hapana. twende kwa njia halali mkuu
 
Spain nimekaa kikazi kwa miezi 4 nilikuwa mjini Bilbao,Spain kiufupi Kuna Hali ngumu na ubaguzi upo kwa watu ambao sio professional
Nipo na shirika fulani
Pia nilitembelea mji wa Malaga kwa utalii
Mkuu mfano mim ni professional ni mhasibu then Spain sio kwamba ndio destiny hapana ni mwanzo tu lengo langu nifike Canada ..so Spain ni kama kianzio ndo maana naitaji watu kama wawili wenye umri kuanzia miaka 30 ivi ..na wawe furesh kwenye kujieleza tu ..mambo mengine tutashirikiana..
 
Mkuu mfano mim ni professional ni mhasibu then Spain sio kwamba ndio destiny hapana ni mwanzo tu lengo langu nifike Canada ..so Spain ni kama kianzio ndo maana naitaji watu kama wawili wenye umri kuanzia miaka 30 ivi ..na wawe furesh kwenye kujieleza tu ..mambo mengine tutashirikiana..
Njia rahisi kuliko zote ni,Tafuta festival zao ujue zinafanyika lini?,then pata kibali basata au taasisi yoyote inayousiana na sanaa....@#%% the simplist method ya kwenda popote duniani.
 
Back
Top Bottom