Bacyclerbacy
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 1,744
- 3,020
Me bado aiseeBestiiii kwani ww tayari au bado?
ni nadra sana always mtt wa nyoka ni nyokaMtoto anaweza kutoka kwenye familia mbovu na baadae akawa mtu bora , hivyo hivi vitu havina formula
[emoji2] [emoji2]Me bado aisee
Usitakew kulazimisha vitu kwa mifano isiyo na mantiki, hauzi kumuingiza Geto msichana wa watu ukae nae weee bila ya kumuoa hilo halikubaliki kwa dini zote Hata kama mmekaa kwa amani miaka mingi. Kama anakufaa katekeleze wajibu.Hakuna Mungu na mkikubaliana wawili hakuna dhambi.
Dhambi unapoanza kujishuku kuhusu jamii itakuonaje katika jambo ambalo wahusika wakuu wawili mshakubaliana.
Nikuulize swali.
Tuseme kuna couples mbili.
Couple A
Mwanamme amepatana na mwanamke, waishi pamoja bila ndoa wala makeke yanayotakiwa na jamii, wakaishi vizuri kwa mapenzi ya heshima na ajabu. Mpaka watu wa nje wanatamani kuwa hivyo.
Couple B
Mwanamme kamuoa mwanamke kwa nderemo, vifijo na sherehe zote. Lakini baada ya ndoa visas na visasi, mabibi wa nje wengi, kupigana kila siku, kesi kwa wazazi hziishi, mambo ya aibu juu ya aibu.
Kati ya hizo couples mbili utaona ipi afadhali?
Nawezaje kulazimisha kitu kwenye internet?Usitakew kulazimisha vitu kwa mifano isiyo na mantiki, hauzi kumuingiza Geto msichana wa watu ukae nae weee bila ya kumuoa hilo halikubaliki kwa dini zote Hata kama mmekaa kwa amani miaka mingi. Kama anakufaa katekeleze wajibu.
chelewa mkuu nguvu ziishe,uoe wakati nguvu zishakuwa kiduchu uone vijana wanavyoserereka na mkeoApatae mke apata kitu chema, nae apata kibali kwa MUNGU.
KINYUME
Apatae mke apata tatizo jipya nae ajipatia kibali cha kuwahi kufa, maana presha na msongo havijawahi kumuacha mtu salama.
Kosea njia utaelekezwa, ila ukikosea kuoa, my brother utakinywea kikombe cha ghadhabu ya ndoa
Nting'irawanyuma
jibu likipatikana nimention pleaseKwa hiyo ukichelewa ndio utapata mke bora au?
Apatae mke apata kitu chema, nae apata kibali kwa MUNGU.
KINYUME
Apatae mke apata tatizo jipya nae ajipatia kibali cha kuwahi kufa, maana presha na msongo havijawahi kumuacha mtu salama.
Kosea njia utaelekezwa, ila ukikosea kuoa, my brother utakinywea kikombe cha ghadhabu ya ndoa
Nting'irawanyuma
jibu likipatikana nimention please