Bora uchelewe kuoa

Bora uchelewe kuoa

Mtoto anaweza kutoka kwenye familia mbovu na baadae akawa mtu bora , hivyo hivi vitu havina formula
ni nadra sana always mtt wa nyoka ni nyoka
yan binti kakua na mamake single mother kaachika mpaka kakata tamaa kila siku anajisifu anaeza kuishi bila mwanaume na wala haitaji mwanaume hv huyu binti atakua na hofu ya kuachwa kweli???hao ndo wale ukimwaga mboga yy anamwaga ugali yan kabla hujamwambia sitaki nikune tena ashapaki mabeg kitambo

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna Mungu na mkikubaliana wawili hakuna dhambi.

Dhambi unapoanza kujishuku kuhusu jamii itakuonaje katika jambo ambalo wahusika wakuu wawili mshakubaliana.

Nikuulize swali.

Tuseme kuna couples mbili.

Couple A
Mwanamme amepatana na mwanamke, waishi pamoja bila ndoa wala makeke yanayotakiwa na jamii, wakaishi vizuri kwa mapenzi ya heshima na ajabu. Mpaka watu wa nje wanatamani kuwa hivyo.

Couple B
Mwanamme kamuoa mwanamke kwa nderemo, vifijo na sherehe zote. Lakini baada ya ndoa visas na visasi, mabibi wa nje wengi, kupigana kila siku, kesi kwa wazazi hziishi, mambo ya aibu juu ya aibu.

Kati ya hizo couples mbili utaona ipi afadhali?
Usitakew kulazimisha vitu kwa mifano isiyo na mantiki, hauzi kumuingiza Geto msichana wa watu ukae nae weee bila ya kumuoa hilo halikubaliki kwa dini zote Hata kama mmekaa kwa amani miaka mingi. Kama anakufaa katekeleze wajibu.
 
Nawezaje kulazimisha kitu kwenye internet?

Kwa nini unafikiri kila mtu anafuata dini?

Dini ni nini?

Hao unaowakatalia kufanya hilo unajua dini zao zinasemaje kuhusu hilo?

Unazijua dini ngapi za dunia hii na dini zilizopo ni ngapi?

Dini ikikuambia ufanye kitu ambacho akili yako inaona si sawa, kama kumuua mama yako, utakubali?

Unaandika huwezi kumuingiza geto msichana wa watu ukae nae wee bila ya kumuoa wakati Profesa Jay ndicho alichofanya hicho, na watu kibao wamefanya, sasa unapoandika "huwezi" wakati watu washafanya unaelewa maana ya neno "huwezi"?
 
Apatae mke apata kitu chema, nae apata kibali kwa MUNGU.

KINYUME
Apatae mke apata tatizo jipya nae ajipatia kibali cha kuwahi kufa, maana presha na msongo havijawahi kumuacha mtu salama.

Kosea njia utaelekezwa, ila ukikosea kuoa, my brother utakinywea kikombe cha ghadhabu ya ndoa

Nting'irawanyuma
chelewa mkuu nguvu ziishe,uoe wakati nguvu zishakuwa kiduchu uone vijana wanavyoserereka na mkeo
 
Back
Top Bottom