Pre GE2025 Bora Uenyekiti wa Mbowe, Lissu bado hajajua watanzania wanataka nini. Mpango wake wa kustopisha Uchaguzi unaenda kuangukia pua!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mkuu umeandika vizuri , pamoja yote aya bado hawajiamini , daily watu wanaachiwa uvilema kisa chaguzi, kama hawataki uchaguzi bora wa namna ya kurekebisha namna ya kuendesha chaguzi zetu kwa haki na uhuru wafute vyama vya upinzani basi
 
Lisu ni tapeli la kisiasa
 
Siku wajinga wajinga kama wewe, wakifa,nchi itaendelea, hv unaelewe ccm wanaipeleka wapi hii nchi?
 
🇹🇿 Sio Burundi kwamba tunayumbishwa na taasisi za Mabeberu.

Kwa taarifa yenu tuu Huwa tunakopa na sio kupewa Msaada.

Mwisho hata Paige kelele na atembee uchi Dunia nzima hakuna kitakachobadilika.
 
Hatutegemei sana Watanzania, ila Dunia itazuia,
Ona hii takataka.Nikikwambia weka takwimu za misaada ya hao Mabeberu mnaptegemea Kwa Tanzania unaweza weka?

Kama hujui manake wewe na huyo kibaraka ni majinga msiojitambua.
 
Hamkumshauri vizuri Mbowe!! Aibu aliyoivuna haiwezi kupozwa na hizi drama uchwara
 
Kosa lako kubwa ni kuwa pro-Lissu.
Kwani wewe huna msimamo wako?
Kodi zetu zinapotezwa kwa kuweka mazingaombwe ya Uchaguzi wakati Kura zetu HAZIHESHIMIKI.
Tufuke mahali tujitambue.
KURA ZETU ZIHESABIWE KWA UWAZI NA ZIHESHIMIKE.
Baada ya hapo, Mshindi akiwa CCM au CHADEMA au ACT, itakuwa ndiyo KAULI ya Watanzania.
Kilichofanyika kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni AIBU kwa Nchi yetu.
 
Kweli kabisa, yeye anadhani Tanzania ni darasa la first year la sheria, huku mtaani watu wanaishi maisha halisi yasiyozingatia technicalties
 
Mimi Sina maneno mengi nawaachieni ulingo

Are you ready!!!
 
Wewe wasemaje kwanza tuanze nawewe..tafafhari chukua mic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…