Bora ugaidi kuliko ushoga

Bora ugaidi kuliko ushoga

Duuuh globalization mkuu.,,
sikupingi kabisa an
Ila kwa hii ishu ya ushoga na ugaidi kila mmoja atakuja na tafsiri yake..

Kwanini jamaa kafanya comparison kati ya ugaidi na ushoga hapo ,,,?
Kwa sababu amesahau hio sio asili ya Mwafrika, Mwafrika hakua na tamaduni hizo za ugaidi na ushoga kwa HIO ni tamaduni za huko huko kulipotokea Biblia na Msahafu ndio wamezileta Africa na kutaka waafrika nao wazifuate ili wapatiwe misaada, angalia UG wametunga Sheria ya kudhibiti mashoga kilichofuata ni nini? Na aliposaini Mu7 Ile Sheria alisemaje kuhusu hayo masuala kua hizo sio tamaduni na asili ya Mwafrika ni tamaduni za huko huko Magharibi na Mashariki ya mbali kulipotokea Majahazi kuja Afrika
 
Na ukifuatilia makundi ya kigaidi yanayojinasibisha na Uislamu ,hakuna msimi wa uhakika wala kiongozi wa dini wa wa uhakika ambaye anayasapoti kwanza wako kinyume na Uislamu na hata ukiwa muislamu kama hauwasapoti wewe ni Kafiri utachinjwa na kuuwawa hata ukiwa msikitini..
Leo nmepata kitu kigeni[emoji848]
 
Mzuka wanajamvi.

Wagalatia tusikubali kabisa mambo ya wazungu sasa hivi ya ushoga yafike hadi Africa.

Tunawashukuru wazungu kwa kutuletea injili. Mungu hawabariki mamishenari wa mwanzo kwa kutuletea nuru na habari njema ya Yesu.

Lakini sasa hivi watuache tumuabudu Yesu kwa usahihi na utashi wetu. HATUTAKI USHOGA.

Hongera viongozi wa kikristo Africa, Asia na Latin America kusimama thabiti kusimamia misingi thabiti ya uadilifu katika imani ya kweli na upendo.

Yani bora tu ugaidi kuliko ushoga. Wagalatia tunapitia wakati mgumu sana. Yani kila ukipangua hoja za kina adriz na Ritz wanakuambia nenda ukabarikiwe basi unabaki umenyong'onyea.

JESUS HELP US
Yote ni makosa lingine malipo ni hapa hapa duniani utaadhibiwa na jamuhuri na lingine unaadhibiwa kote, mbinguni na pia duniani mwanaume mwenzako anakupiga pipe ni adhabu tosha
 
Maghayo ukristo ulikwepo afrika kabla ya ukoloni, wamisionari walisaidia kufikisha injili sehemu ambazo injili haikuwepo but usiseme africa nzima walikuwa hawamjui yesu, huo utakuwa ni uongo mkubwa sana.
Chief Sisi kwetu Afrika tulikua hatumjui huyo Yesu kipindi hicho kabla ya Wamisionari kuja kumtambulisha Afrika kipindi hicho tunaishi na kuishia kwa kula nyama na matunda, hakuna Shule hakuna hospitali ukiumwa tunakuchimbia mizizi hakuna barabara ya lami wala baiskeli usafiri Miguu yako hakuna nguo zaidi ya magome ya miti na ngozi za wanyama hakuna nyumba za kisasa nyumba ni tembe na nyasi na miti na udongo wengine wanakandika Mavi ya Wanyama km ng'ombe, wake ni unaoa idadi unavyoweza wewe maeneo ni unachagua unapopataka unakaa na kuishi na kujenga ngome na ukoo wako hapo eneo kubwa sio kijieneo yaan una miliki Kijiji enzi hizo sio sasa sasa unamiliki Kijiji na kila kidume kinapewa mke kila anapofika balehe ushoga unaingiaje?

Tamaduni, Mila na Asili
 
Ndio mkuu.. nijue chimbuko lake lilikua vipi huku africa
Chimbuko lake linatokana na interaction between King Solomon and the Queen of shebba na baptization of a eunuch man(Ethiopian) by Phillip, hii story ipo kweny matendo ya mitume sure ya 8.

And the Ethiopian Bible is the oldest and complete bible on earth. Written in Ge'ez an ancient dead language of Ethiopia it's nearly 800 years older than the King James Version and contains 81-88 books compared to 66. It includes the Book of Enoch, Esdras, Buruch and all 3 Books of Maccabee, and a host of others that was excommunicated from the KJV.
images - 2024-01-11T183547.445.jpeg

images - 2024-01-11T183615.494.jpeg

images - 2024-01-11T183736.052.jpeg
 
Chief Sisi kwetu Afrika tulikua hatumjui huyo Yesu kipindi hicho kabla ya Wamisionari kuja kumtambulisha Afrika kipindi hicho tunaishi na kuishia kwa kula nyama na matunda, hakuna Shule hakuna hospitali ukiumwa tunakuchimbia mizizi hakuna barabara ya lami wala baiskeli usafiri Miguu yako hakuna nguo zaidi ya magome ya miti na ngozi za wanyama hakuna nyumba za kisasa nyumba ni tembe na nyasi na miti na udongo wengine wanakandika Mavi ya Wanyama km ng'ombe, wake ni unaoa idadi unavyoweza wewe maeneo ni unachagua unapopataka unakaa na kuishi na kujenga ngome na ukoo wako hapo eneo kubwa sio kijieneo yaan una miliki Kijiji enzi hizo sio sasa sasa unamiliki Kijiji na kila kidume kinapewa mke kila anapofika balehe ushoga unaingiaje?

Tamaduni, Mila na Asili
Una uhakika??
 
Chimbuko lake linatokana na interaction between King Solomon and the Queen of shebba na baptization of a eunuch man(Ethiopian) by Phillip, hii story ipo kweny matendo ya mitume sure ya 8.

And the Ethiopian Bible is the oldest and complete bible on earth. Written in Ge'ez an ancient dead language of Ethiopia it's nearly 800 years older than the King James Version and contains 81-88 books compared to 66. It includes the Book of Enoch, Esdras, Buruch and all 3 Books of Maccabee, and a host of others that was excommunicated from the KJV.
View attachment 2868699
View attachment 2868701
View attachment 2868702
Hii ilijificha wapi..?
Maana hata shule hatusomi an
 
Fallback
 
Mzuka wanajamvi.

Wagalatia tusikubali kabisa mambo ya wazungu sasa hivi ya ushoga yafike hadi Africa.

Tunawashukuru wazungu kwa kutuletea injili. Mungu hawabariki mamishenari wa mwanzo kwa kutuletea nuru na habari njema ya Yesu.

Lakini sasa hivi watuache tumuabudu Yesu kwa usahihi na utashi wetu. HATUTAKI USHOGA.

Hongera viongozi wa kikristo Africa, Asia na Latin America kusimama thabiti kusimamia misingi thabiti ya uadilifu katika imani ya kweli na upendo.

Yani bora tu ugaidi kuliko ushoga. Wagalatia tunapitia wakati mgumu sana. Yani kila ukipangua hoja za kina adriz na Ritz wanakuambia nenda ukabarikiwe basi unabaki umenyong'onyea.

JESUS HELP US
Kwahiyo wewe Mgerasi umeamua kuwasaliti mashoga zako wa IDF (Israel Diapers Force).
 
Chimbuko lake linatokana na interaction between King Solomon and the Queen of shebba na baptization of a eunuch man(Ethiopian) by Phillip, hii story ipo kweny matendo ya mitume sure ya 8.

And the Ethiopian Bible is the oldest and complete bible on earth. Written in Ge'ez an ancient dead language of Ethiopia it's nearly 800 years older than the King James Version and contains 81-88 books compared to 66. It includes the Book of Enoch, Esdras, Buruch and all 3 Books of Maccabee, and a host of others that was excommunicated from the KJV.
View attachment 2868699
View attachment 2868701
View attachment 2868702
Aliekiandika hiki ni huyo huyo Mzungu aliekuletea Biblia wewe hapo kwenu Mpitimbi, Ila kabla ya hapo waafrika hawakua na hio Dini ya Yesu walikua na Dini zao za kimila na tamaduni zao za kuomba Miungu yao na wengi huita Mizimu na Mzimu ni mtu aliekufa hata kwenye Bible wenyewe wanaita Holy Ghost unaelewa wanamaanisha nini au kimombo kigumu?
 
Hivi unaijua AK47 wewe??

Wewe mtu akitumia kinyeo chake kwa matumizi yake binafsi inakuuma nini??
Siupendi ushoga ila ugaidi hapana, jitu linabaka na kuua wanawake na watoto bila sababu za msingi.

Utaikua shoga kwa kupenda wewe mwenyewe ila gaidi hachagui habagui ataemchapa risasi dakika moja ijayo hamjui.
 
Ambao wanakaa kinyonge ni waroma wanao ongozwa na yule bibi kizee kichaa wa vatcan, ugaidi na mapenzi ya jinsia moja vyote ni hatari kwa maisha ya binadamu wote walio staraabika hakuna chenye unafuu
 
Hivi unaijua AK47 wewe??

Wewe mtu akitumia kinyeo chake kwa matumizi yake binafsi inakuuma nini??
Siupendi ushoga ila ugaidi hapana, jitu linabaka na kuua wanawake na watoto bila sababu za msingi.

Utaikua shoga kwa kupenda wewe mwenyewe ila gaidi hachagui habagui ataemchapa risasi dakika moja ijayo hamjui.
Wewe mtu akitumia kinyeo chake kwa matumizi yake binafsi inakuuma nini??
Wee jamaa una hatareee aiseee
 
Ndo ivo mkuu, kwani ushoga sasa hivi haupo??
Pamoja na kua majority hatupo huko lakini hakuna asiejua kua nchi hii pia inanuka nnya za kiume.?

Vipi mmoja wetu akajitosa kusaka data sahihi, si atakutana na balaa.
 
Back
Top Bottom