Bora ugaidi kuliko ushoga

Bora ugaidi kuliko ushoga

Mzuka wanajamvi.

Wagalatia tusikubali kabisa mambo ya wazungu sasa hivi ya ushoga yafike hadi Africa.

Tunawashukuru wazungu kwa kutuletea injili. Mungu hawabariki mamishenari wa mwanzo kwa kutuletea nuru na habari njema ya Yesu.

Lakini sasa hivi watuache tumuabudu Yesu kwa usahihi na utashi wetu. HATUTAKI USHOGA.

Hongera viongozi wa kikristo Africa, Asia na Latin America kusimama thabiti kusimamia misingi thabiti ya uadilifu katika imani ya kweli na upendo.

Yani bora tu ugaidi kuliko ushoga. Wagalatia tunapitia wakati mgumu sana. Yani kila ukipangua hoja za kina adriz na Ritz wanakuambia nenda ukabarikiwe basi unabaki umenyong'onyea.

JESUS HELP US
Duuu magaidi kama huyu hapa chini

View: https://x.com/AshleaSimonBF/status/1745400265430167997?s=20
 
Ushoga au Ugaidi
Ushoga = ni mtu anapelekewa moto kivyake tena kwa utashi wake(kama yule askari wa Zenji)

Ugaidi = ni mtu añakuwa amevurugwa na stress zake za imani anatoka atokako anakuja anavamia, kuua na kuangamiza watu wasiohusika na hizo stress zake.

Sasa hapo 'kupanga ni kuchagua'.
 
We jamaa hujisomi, kwan nimesema nitakueletea mambo ambayo yapo nje ya historia??
Historia ya Babu wa Mababu zako kabla ya Mababu waliowazaa Mababu zao inasema wao walikua wanamuabudu Yesu km Mungu wao au walikua wanaabudu miungo yao kwenye maeneo tofauti inayosemekana ni ya uongo (wazungu waliwaaminisha) ?
 
Ushoga = ni mtu anapelekewa moto kivyake tena kwa utashi wake(kama yule askari wa Zenji)

Ugaidi = ni mtu añakuwa amevurugwa na stress zake za imani anatoka atokako anakuja anavamia, kuua na kuangamiza watu wasiohusika na hizo stress zake.

Sasa hapo 'kupanga ni kuchagua'.
Kwa maneno yako hapo bora ushoga si ndiooo eeeh 😂😂😂😂
 
Mzuka wanajamvi.

Wagalatia tusikubali kabisa mambo ya wazungu sasa hivi ya ushoga yafike hadi Africa.

Tunawashukuru wazungu kwa kutuletea injili. Mungu hawabariki mamishenari wa mwanzo kwa kutuletea nuru na habari njema ya Yesu.

Lakini sasa hivi watuache tumuabudu Yesu kwa usahihi na utashi wetu. HATUTAKI USHOGA.

Hongera viongozi wa kikristo Africa, Asia na Latin America kusimama thabiti kusimamia misingi thabiti ya uadilifu katika imani ya kweli na upendo.

Yani bora tu ugaidi kuliko ushoga. Wagalatia tunapitia wakati mgumu sana. Yani kila ukipangua hoja za kina adriz na Ritz wanakuambia nenda ukabarikiwe basi unabaki umenyong'onyea.

JESUS HELP US
Nakazia Bora Ugaidi kuliko Ushoga, Ugaidi ni Unyama ila Ushoga ni Unyama poli.
 
Ukitaka kuprove mleta mada yupo sahihi, Mwanaume ebu jiulize tu incase umewekwa mtu kati Upigwe pipe na uishi ukipigwa pipe au upigwe Shaba ufe mara moja utachagua nini?
 
Wee hapo unachagua nini mkuu
 
Me nipigwe shaba tu nife Bablai kuliko kutumikia Rungu ni fedheha sanaaaa, we unachagua pipe kaka?
Oky..
Sasa kak ni kitu gani wewe waki compare na kupigwa pipe. Kwako itakua kheri kupigwa pipe...?
 
Mzuka wanajamvi.

Wagalatia tusikubali kabisa mambo ya wazungu sasa hivi ya ushoga yafike hadi Africa.

Tunawashukuru wazungu kwa kutuletea injili. Mungu hawabariki mamishenari wa mwanzo kwa kutuletea nuru na habari njema ya Yesu.

Lakini sasa hivi watuache tumuabudu Yesu kwa usahihi na utashi wetu. HATUTAKI USHOGA.

Hongera viongozi wa kikristo Africa, Asia na Latin America kusimama thabiti kusimamia misingi thabiti ya uadilifu katika imani ya kweli na upendo.

Yani bora tu ugaidi kuliko ushoga. Wagalatia tunapitia wakati mgumu sana. Yani kila ukipangua hoja za kina adriz na Ritz wanakuambia nenda ukabarikiwe basi unabaki umenyong'onyea.

JESUS HELP US
Mkaldayo ushavuta ndumu, hakuna bora hapo
 
Back
Top Bottom