DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Nimeipenda hii doktori,kwani shilingi ngapi?
Mkuu naomba nikuulize jambo PM naona umefunga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeipenda hii doktori,kwani shilingi ngapi?
Ikifika wikiend mwanamke anatype sms ya kuomba elfu 20 anaituma kwa wanaume 10, akitumiwa hela na wanaume watano tu tayari ana laki moja.Wanawake wengi.sana wametoboa huku wanaojiita Gentlemen wameishia stress na kulewa pombe tu
Nakucheki doktoriMkuu naomba nikuulize jambo PM naona umefunga
Tupo pamoja mkuu. Huwa nakufatilia pia, una madini yenye faida.Life is about balance
Don't go broke to impress women but sometimes you need to Care of ur soulmate
Correct....hii wanaume wakiigundua watainuka sana kiuchumi.Ikifika wikiend mwanamke anatype sms ya kuomba elfu 20 anaituma kwa wanaume 10, akitumiwa hela na wanaume watano tu tayari ana laki moja.
Kijana simp anamtumia uyo demu elfu 20 na yeye anashindia mihogo na energy drink siku nzima wakati demu aliemtumia hela jioni yupo kitambaa cheupe kachafua meza na chupa nyingi sana heinken
Kama hauwezi kufurahi peke yako basi furahi na mtu anaestahili hela yakoUnawezaje kufurahi peke yako?
Wanawake wana mitego sana inahitaji mwanaume mwenye akili kweli kweli.You have identified a key issue that is prevalent among young people: a lack of understanding of the truth. Many individuals in this age group tend to prioritize impressing others, particularly women, over their own self-reflection. This often leads to regret and a return to a state of immaturity.
It's all about brotherhood. Teach them early what you learn late.You have identified a key issue that is prevalent among young people: a lack of understanding of the truth. Many individuals in this age group tend to prioritize impressing others, particularly women, over their own self-reflection. This often leads to regret and a return to a state of immaturity.
Natafuta Ajira jinsi ya kujizuia kungonoka ndo ugumu unaanzia apo, usipokuwa makini unaweza pata depression kabisaNje ya tamaa za kingono kuna maisha mengine ambayo ndio ya muhimu zaidi
Wanawake wanaojiheshimu wapo.Natafuta Ajira jinsi ya kujizuia kungonoka ndo ugumu unaanzia apo, usipokuwa makini unaweza pata depression kabisa
Umetoka nje ya mada. Mwanaume hata asipokua malaya bado anaweza kuangukia mikononi na mwanamke chuma ulete.Naam leo angalau umewashauri vizuri mwanaume kufanikiwa is directly proportional to kuacha umalaya, waambie kabisa kwamba lazima wachague kimoja na wasacrifice kimoja hawawezi kupata vyote yani uwe malaya halafu uendelee kufanikiwa hiyo ni kanuni ya wapi, siku wanaume wakiacha kuichukulia ngono kama basic need na kuacha kuisingizia nature basi watakuwa wamepiga hatua kubwa sana katika kuyaelekea mafanikio yao na hata wanawake nao watabadilika
alikua na historia ya kupitia seminary schoolIla wanawake Mungu anawaona ,kuna jiran yetu mmoja enzi hizo wakati tunaishi oysterbay,alihama kwake oysterbay na kwenda kuishi msasani na kuacha familia
Omba tu usikamatwe na mwanamke
Sina uhakika doktori,kwani wa seminary wanakwama sana😂😂alikua na historia ya kupitia seminary school
mara nyingi nawaona wanachemkaga sanaSina uhakika doktori,kwani wa seminary wanakwama sana😂😂
Yan hivi vibinti vya elfu mbili ambavyo unakutana navyo barabarani na ndinga ujue wazee wengi wanaumia sana