Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Ndio baadhi ya watu wanavyosema. Hata mimi nimewahi kuwaza hivyo kabla ya kusikia kwa watu. Hii dhana ni dhidi ya ugonjwa wa kisukari ambao una masharti magumu hasa kwa mtu wa kipato cha chini. Huu usemi unaweza kuwa sawa au nu upotoshaji tu?
yaani bora uumwe ukimwi kuliko kisukari maana ukimwi una madawa mengi ya kupunguza makali ila kisukari ni maumivu tu
sasa watu wanataka kuamini kuwa bora upate VVU tu na utumie hizo dozi. Nadhani wanasema hivyo kutokana na masharti yaliyopo kulinganisha na magonjwa hayo (hususan kwenye vyakula)
Kama natakiwa kuchagua mi kwa furaha nachukua VVU. KISUKARI na UKIMWI yote ni magonjwa sugu yanayohitaji muathirika kunywa dawa for LIFE!, lakini KISUKARI ni complicated zaidi ya ukimwi. KISUKARI hata kama utafuata masharti vizuri lakini comlications lazima zikukute, km vile UPOFU, KUPOTEZA VIUNGO hasa miguu, KUPOTEZA NGUVU ZA KIUME, SHINIKIZO LA DAMU, KUHARIBIKA MISHIPA YA FAHAMU, KIHARUSI, KUHARIBIKA FIGO (leading cause of Renal failure), n.k, n.k, kwa ujumla quality ya life inakuwa severly compromised kuliko anayekula ARV, dawa za ARV zimezidi kuboreshwa... idadi ya vidonge inazidi kupungua, huduma ni bure, vituo vya tiba na wataalamu wako kila hospitali, lkn tiba ya kisukari ni duni na aghali sana.
Ukweli kuhusu ukimwi ni kwamba ukikubali unao utakuwa salama. Pia masharti yake ni kama maisha ya siku ya mtu, yaani kula diet, mazoezi, cheki afya mara kwa mara, usiwaze, n.k. Sasa kisukari kinaondoa nguvu za kiume, % 90 ya vyakula huli, n.k. Ukitaka kuishi na ukimwi kwa raha upime mapema na kufuata masharti
Ukweli ni kwamba, Ukimwi ni ungonjwa ambao umeoneka kuenea kwa kasi sana hapa Duniani hasa kusini mwa Jangwa la Sahara. Kwa hiyo nguvu nyingi sana imetumika ili kupambana na tatizo hili.
Kutokana na kuwepo kwa madawa ya kupunguza makali ya virusi vya ukimwi (ARV) na kufuata masharti mgonjwa wa ukimwi anakuwa na nafuu zaidi ya mgonjwa wa kisukari.
Barani afrika ni mtu gani mwenye maisha ya kawaida au ya hali ya chini anaweza kuishi bila ya kukutana na starch kwenye vyakula anavyokula kila siku???
Ukweli ni kwamba, Ukimwi ni ungonjwa ambao umeoneka kuenea kwa kasi sana hapa Duniani hasa kusini mwa Jangwa la Sahara. Kwa hiyo nguvu nyingi sana imetumika ili kupambana na tatizo hili.
Kutokana na kuwepo kwa madawa ya kupunguza makali ya virusi vya ukimwi (ARV) na kufuata masharti mgonjwa wa ukimwi anakuwa na nafuu zaidi ya mgonjwa wa kisukari.
Barani afrika ni mtu gani mwenye maisha ya kawaida au ya hali ya chini anaweza kuishi bila ya kukutana na starch kwenye vyakula anavyokula kila siku???
Hii ni "old thought" hasa kwa madaktari wa miaka ile! Visenti inabidi urudi shule kwani hili ni suala muhimu sana na unatakiwa uelimishe watu hapa; sorry!
Mziwanda, fungua www.worlddiabetesfoundation.org/composite-35.htm itakusaidia kujua ukali wa KISUKARI kwa mtu masikini, kisha linganisha na huduma za UKIMWI ilivyo sasa.
hakuna degedege wala tantrum; hii ni about facts sio philosophy. views inabidi ziwe na evidence, na its wrong big time kusema kuwa ukiwa na kisukari lazima uishie na complications za figo, hert etc.Outlier acha jazba, mi nipo shule siku zote, huo ni mchango wangu wewe elimisha kivyako bila degedege. Nimechangia hoja "UKIMWI vs KISUKARI" hasa kwa watu masikini walio wengi (remember the thread is Philosophical and so are my views).