umeni-address three times; nashangaa unaposema "tell the forum" wakati wewe wani-tell mimi.Outlier, nimekushauri kuwa hizo facts ziweke kivyako acha kuchangia mchango wangu, changia thread!, fact gani unazitaka zaidi ya hiyo link niliyoitoa, nawewe bandika literature inayoonyesha kuwa good diabetic care ELIMINATES long term complications, na hapa tuanazungumzia majority ya diabetics, ambao hata mlo mmoja ni shida kuupata,. Ninaposema thread ni philosophical hata huelewi maana yake, we unataka madesa ya ki-technical unayoyaita facts, tell the forum your OWN VIEWS on the subject!
umeni-address three times; nashangaa unaposema "tell the forum" wakati wewe wani-tell mimi.
Dawa za HIV/AIDS ni lazima kunywa aina 3 ama zaidi, na mara nyingi frequency ni mara 3 au zaidi kwa siku wakati kwa kisukari either dawa moja ama at most 2 na possibly mara moja ama mbili tu kwa siku.
Outlier, sorry naku-adress mara ya 4, hakuna jipya kwa videsa ulivyobandika hapa, hizo ni nadharia ambazo hazija-adress mada na usiwatishe watu kuhusu regmen ya ARV, hiyo frequency ya kunywa ARV sijui ni ya mwaka gani, nakushauri uende CTC ya karibu nawe, mwone hata medical attendant atakuelekeza ARV regmen, usiwapotoshe watu hapa.
Sasa nikuongoze kuchangia mada iliyo mbele yetu, fikiria hali halisi kwa kulinganisha watu masikini wawili, mmoja anapata ARV na wa pili ana KISUKARI, yupi kati ya hao ana better outlook, ukizingatia mfumo wa afya uliopo kuhusu magonjwa hayo mawili.
umeni-address three times; nashangaa unaposema "tell the forum" wakati wewe wani-tell mimi.Dawa za HIV/AIDS ni lazima kunywa aina 3 ama zaidi, na mara nyingi frequency ni mara 3 au zaidi kwa siku wakati kwa kisukari either dawa moja ama at most 2 na possibly mara moja ama mbili tu kwa siku.
Outlier, sorry naku-adress mara ya 4, hakuna jipya kwa videsa ulivyobandika hapa, hizo ni nadharia ambazo hazija-adress mada na usiwatishe watu kuhusu regmen ya ARV, hiyo frequency ya kunywa ARV sijui ni ya mwaka gani, nakushauri uende CTC ya karibu nawe, mwone hata medical attendant atakuelekeza ARV regmen, usiwapotoshe watu hapa.
Sasa nikuongoze kuchangia mada iliyo mbele yetu, fikiria hali halisi kwa kulinganisha watu masikini wawili, mmoja anapata ARV na wa pili ana KISUKARI, yupi kati ya hao ana better outlook, ukizingatia mfumo wa afya uliopo kuhusu magonjwa hayo mawili.
siku hizi regimen zikoje? nipe 1st line tu kwa adult inatosha, maana wewe utakuwa mzuri kunielewesha kuliko medical assistant.
AIDS, drug prices and generic drugs
Jamani mnaosema nafuu matibabu ya kisukari kwa mtanzania wa kawaida hebu asome vizuri link hapo juu. Hivi kweli mnadhani Ukimwi ni cheaper kuliko kiharusi? Sema tu kuna dawa nyingi za msaada za Ukimwi lakini watanzania wanaoweza kuafford ARV without the help of these Donor Funded Projects ni wachache, ni hapo sasa upate huo msaada.
pamoja na uwepo wa dawa za HIV/AIDS kwa msaada wa donors - sio wagonjwa wote wana-access nazo.
1) NGO zinazotoa huduma hizo ziko sehemu chache tena ni mjini - watu wa Busanda, Nkasi, Ikombandulu sidhani kama hata wamewahi kusikia kuna kitu kinaitwa CTC. Dar es salaam kwenyewe - kati ya wagonjwa elfu arobaini wanaohitaji dawa, nusu ya hao tu ndio wamefikiwa; kwa hiyo kupiga kelele tu kuwa dawa zipo sio sahihi; zipo lakini hazijawafikia wagonjwa.
2) Matumizi ya ARVs yanahitaji monitoring ya mara kwa mara; nasikia hizo CD4 machines zapatikana kwenye specialized hospitals tu; sasa unasemaje kwa wagonjwa wanaokaa huko Lindi na Masasi, kwa mfano tu?
Nakubaliana na wewe mkuu ndiyo maana ukisoma mwisho wa post yangu ni mpaka upate huo msaada. Pia umeona link niliyo weka? Dawa za ARV zina gharama ambazo mtz wa kawaida kumudu hawezi.
Dawa za HIV/AIDS ni lazima kunywa aina 3 ama zaidi, na mara nyingi frequency ni mara 3 au zaidi kwa siku wakati kwa kisukari either dawa moja ama at most 2 na possibly mara moja ama mbili tu kwa siku
HIV na dawa zimegundulika miaka ya 90s sio 80s! uko wapi?Outlier, hizo ni story za 80s,
naishia hapo kwa vile nimeshakupata, sina msaada zaidi ya hapo.
Mkuu, hata kisukari unaweza ukapunguza makali yake kwa kufuata masharti.
Mimi nina kisukari huu mwaka wa 12 nafata masharti,naweza sema Diabetese imenibadili kuwa na afya zaidi,nalala masaa 8,nakula balanced diet,nafanya mazoezi,nafanya check-up mara moja kwa mwaka.Hamuwezi amini nakimbia 3km mara mbili kwa wiki pamoja na mazoezi mengine.
Ndio baadhi ya watu wanavyosema. Hata mimi nimewahi kuwaza hivyo kabla ya kusikia kwa watu. Hii dhana ni dhidi ya ugonjwa wa kisukari ambao una masharti magumu hasa kwa mtu wa kipato cha chini. Huu usemi unaweza kuwa sawa au nu upotoshaji tu?
MZIWANDA,
Naomba Mungu aepushie yote mbali.
Hakuna ugonjwa bora.
yaani bora uumwe ukimwi kuliko kisukari maana ukimwi una madawa mengi ya kupunguza makali ila kisukari ni maumivu tu
HIV na dawa zimegundulika miaka ya 90s sio 80s! uko wapi?
Ngwasuma lilianza kutesa late 70s, Kwa TZ Clinical Case ya kwanza ililikuwa-diagnosed mwaka 1983 na kuhusu ARV zilianza kutumika late 80s (History of AIDS: 1987 - 1992)
na
Same story different perspectives; HIV was discovered in 1983 by a French Scientist and 1984 by an American Scientist. HIV/AIDS treatment with combination Antiretroviral drugs began in early 1990s.
Check
na
http://www.hivmedicine.com/hivmedicine2007.pdf