Utamjua tu mtu alie kulia katika familia ya wa kulima huwezi kulinganisha amani na utulivu wa moyo na nyumba, hiyo nyumba inaweza akabadili kua kabri ukikosea mke....acha u peasant mkuu.Nilitumia miaka zaidi ya 10 nyumba yangu kukamilima kabisa,gharama sitataja ila itoshe kusema nyumba yangu ni ya thamani kuliko wanawake wote niliowahi kuoa au kuwa nao kwenye mahusiano.
Leo hii ukibomoa hako kajumba kangu umenimaliza,kuja kuijenga tena sioo rahisi,lakini huyu mke hata akiondoka leo mwezi mmoja navuta mwingine
Tusidanganyane
We kulima unakuchukulia poa,njoo manyara uone maana ya kilimo,au nenda kibaigwa au ruaha mbuyuni,kilimo ni sayansi,sijakulia kijijini lakini naishi mashambani,wakebya wanetuzidi hapo,wanakiheshimu kilimo maana kinalipa kuliko unavyodhaniUtamjua tu mtu alie kulia katika familia ya wa kulima huwezi kulinganisha amani na utulivu wa moyo na nyumba, hiyo nyumba inaweza akabadili kua kabri ukikosea mke....acha u peasant mkuu.
Aisee utoto.unakusumbua. kuna watu.wamezikimbia.nyumba.zao kisa wake zao. Kua uyaone. Mke mwema is the top most.priotityNilitumia miaka zaidi ya 10 nyumba yangu kukamilka kabisa,gharama sitataja ila itoshe kusema nyumba yangu ni ya thamani kuliko wanawake wote niliowahi kuoa au kuwa nao kwenye mahusiano.
Leo hii ukibomoa hako kajumba kangu umenimaliza,kuja kuijenga tena sio rahisi,lakini huyu mke hata akiondoka leo mwezi mmoja navuta mwingine
Tusidanganyane
Subiri nakuombea ukosee kuoa kisha ulinganishe na huo upuuzi unaousema.Nilitumia miaka zaidi ya 10 nyumba yangu kukamilka kabisa,gharama sitataja ila itoshe kusema nyumba yangu ni ya thamani kuliko wanawake wote niliowahi kuoa au kuwa nao kwenye mahusiano.
Leo hii ukibomoa hako kajumba kangu umenimaliza,kuja kuijenga tena sio rahisi,lakini huyu mke hata akiondoka leo mwezi mmoja navuta mwingine
Tusidanganyane
Huna nyumba weweKujenga hakuna gharama kubwa kama tunavyodanganywa ni ishu ya maamuzi tu
USSR
Kuna mwamba alisukuma boma lake chini wakati anaendelea na ujenzi kisa KE sasa imebaki historiaSubiri nakuombea ukosee kuoa kisha ulinganishe na huo upuuzi unapusema.
Ndipo utajua kwanini Elon Musk, Jeff Bezos tajiri namba moja na mbili waliacha wake nabhawataki kusikia habari za wake.
Hiyo kauli ina maana kubwa sana. Hata hako kajumba kako utatamani kukaboa au kutoingia humo.
Anyway, ukikua utajua
πππππππππacha u peasant mkuu
Uongo mtupuUkipata mke bora hizo nyumba unaweza kujenga hata kumi..