kitali
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,204
- 8,315
U miss the point broNilitumia miaka zaidi ya 10 nyumba yangu kukamilka kabisa,gharama sitataja ila itoshe kusema nyumba yangu ni ya thamani kuliko wanawake wote niliowahi kuoa au kuwa nao kwenye mahusiano.
Leo hii ukibomoa hako kajumba kangu umenimaliza,kuja kuijenga tena sio rahisi,lakini huyu mke hata akiondoka leo mwezi mmoja navuta mwingine
Hapa naongelea nyumba za kuanzia milioni 30 sio hizo slope za Singida
Tusidanganyane