"Bora ukosee kujenga kuliko kukosea kuoa" ni msemo wa kijinga kabisa. Unajua gharama za ujenzi wewe?

U miss the point bro
 
Kwa mikoani hakuna mtu wa miaka 30 asiye na mke wala nyumba,nyie wa mjini ndio mnafia kwenye upangaji na kufa kibudu bila mke wala mtoto
Hivi ukakurupuka kuoa mwanamke mwenye tamaa ya mali alafu akawa anakufanyia vitimbwi makusudi ili kusudi umuache mgawane mali,au wengine hudiriki hata kuwauwa waume zao ili warithi mali,wahenga waliwaza mbali sana
Hivi ukakurupuka kuoa mwanamke mwenye tamaa ya mali alafu akawa anakufanyia vitimbwi makusudi ili kusudi umuache mgawane mali,au wengine hudiriki hata kuwauwa waume zao ili warithi mali,wahenga waliwaza mbali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…