Bora upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga!

Nakutakia Ijumaa njema na wikiendi njema mwana JF mwenzangu.

Weka msemo wako mkali wa kuisindikiza wikiendi ya kwanza mwezi wa kumi.
"Nikishindwa ni kama nimeshinda na nikishinda kama nimeshinda" Mandonga.
Hii kauli niliichukulia ni ya kututia matumaini kuwa Kwenye kutafuta tusikate tamaa ukikosa Leo chukulia kama umepata na ukipata amini kuwa umepata.
 
Positive attitude
 
Back
Top Bottom