zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,846
Yaani katika dunia hii bora uwe na akili lakini ukose elimu kuliko kuwa na elimu alafu ukose akili. Nimeamini hili nimejiuliza mambo mengi hapa duniani yametokana na akili kwanza ndipo elimu ikafuata baadae.
Kwa mfano watu kwa akili zao huweza kutengeneza pombe za kienyeji Kama vile mabuju na machicha ambazo hulewesha Kama pombe za kiwandani zilizo tengenezwa kwa elimu ya kemikali.
Watoto wadogo huweza kutengeneza baruti ambazo hulipuka Kama tu baruti nyingine zilizotengenezwa kwa elimu ya Physics.
Hata katika fani ya biashara wakati mwingine wafanyabiashara wenye akili lakini wasio na elimu huendesha biashara vizuri kulikoni wale wenye elimu ya biashara.