Bore well drilling Machine

Bore well drilling Machine

Tougher

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
245
Reaction score
65
Wapendwa naomba kujua kutoka kwa wale watalaamu wa uchimbaji wa visima vya maji. Ni mashine ya aina gani yenye uwezo wa kudumu katika mazingira tuliyopo I mean Tanzania?

Ninahitaji yenye uwezo wa kuchimba hadi mita 200, diameter 100-200mm

Natanguliza shukrani
Tougher
 
schramm, bomag na diamond pat drill ni nzuri kwa sehemu kama dar coz water table ipo jiran
 
Back
Top Bottom