Boris Johnson: Dunia itakuwa mahali salama chini ya mikono ya Donald Trump

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
Waziri wa zamani wa Uingereza, Boris Johnson amemuidhinisha Donald Trump kugombea urais wa Marekani, akidai atawashangaza wakosoaji wake na kuunga mkono Ukraine, na kufanya "Magharibi kuwa na nguvu" na "dunia kuwa thabiti zaidi".
.
Waziri mkuu huyo wa zamani aliwakejeli mahasimu kwa "kutetemeka kwa nguvu sana" kwa wazo la Trump la kurejea Ikulu ya White House.

View: https://www.instagram.com/p/C2UvbxAspwG/?igsh=ODFyaWEwejR3OWw1
 
Keshapita huyo, trump anarudi ikulu kumalizia muhula wake wa pili
 
Waziri wa zamani wa Uingereza, Boris Johnson amemuidhinisha Donald Trump kugombea urais wa Marekani, akidai atawashangaza wakosoaji wake na kuunga mkono Ukraine, na kufanya "Magharibi kuwa na nguvu" na "dunia kuwa thabiti zaidi".
.
Waziri mkuu huyo wa zamani aliwakejeli mahasimu kwa "kutetemeka kwa nguvu sana" kwa wazo la Trump la kurejea Ikulu ya White House.

View: https://www.instagram.com/p/C2UvbxAspwG/?igsh=ODFyaWEwejR3OWw1

Trump hawezi unga mkono Ukraine,hapa Zelensky na Ulaya wajiandae kisaikolojia
 
Back
Top Bottom