Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,795
Sijafuatilia kwa kweli.Na vifo vingapi vya Corona?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijafuatilia kwa kweli.Na vifo vingapi vya Corona?
Fuatila, utagundua ratio ya idadi ya watu inrelation to number ya vifo, index ya US vifo ni mara 100 atleast zaidi ya AfricaSijafuatilia kwa kweli.
Kwani wewe una ndugu au jirani aliyekufa kwa Corona? Kama ndugu/ jirani zako ni wazima, je ndugu au jirani wa nani watakuwa wamekufa?
Sina jibu zaidi ya hilo.. Ngoja aje mwingine kukujibu.Hoja hujibiwa kwa hoja...bado hujajibu swali langu
Na hawa wenzangu na mm majirani wanaofunga nchiWazir mkuu wa uingereza Borison amesema uingereza Corona ipo na bado inaua Sana Ila wamefikia hatua ya kufungua nch sababu Corona bado ipo na Wala haito isha ivi karibun pia amesisitiza kua watu lazima wakubal na wajifundishe kuish nayo Kwan Corona inaweza kudum mpaka miaka miwil. Pia kawa sisitiza watu kuchukua hatua muhim za kujikinga Kama kuvaa mask wakati wote na kunawa maji tiririka au kupaka sanitizer
Ikumbukwe kua Russian week inayo fuata baada ya wiki hii anafungua nch wakat riporting ya jana ya maambukiz na vifo imekua kubwa mpaka Russian dunian kawa wà pili kwa maambukizi kumshinda hata itali na spain
Sent using Jamii Forums mobile app