Wazir mkuu wa uingereza Borison amesema uingereza Corona ipo na bado inaua Sana Ila wamefikia hatua ya kufungua nch sababu Corona bado ipo na Wala haito isha ivi karibun pia amesisitiza kua watu lazima wakubal na wajifundishe kuish nayo Kwan Corona inaweza kudum mpaka miaka miwil. Pia kawa sisitiza watu kuchukua hatua muhim za kujikinga Kama kuvaa mask wakati wote na kunawa maji tiririka au kupaka sanitizer
Ikumbukwe kua Russian week inayo fuata baada ya wiki hii anafungua nch wakat riporting ya jana ya maambukiz na vifo imekua kubwa mpaka Russian dunian kawa wà pili kwa maambukizi kumshinda hata itali na spain
Sent using
Jamii Forums mobile app