Born to love you Heaven Sent

Born to love you Heaven Sent

Thijambo Mkwe.
Shikamoo tena
Marahabaaaa!!We mtoto mbona hizi shikamoo zimekuwa nyingi? Unataka kuomba nini?

Alafu mie mkweo kuanzia lini na kwa nani?? Maana binti ninae mmoja na Benny ndio mkwe wangu.
 
Marahabaaaa!!We mtoto mbona hizi shikamoo zimekuwa nyingi? Unataka kuomba nini?

Alafu mie mkweo kuanzia lini na kwanani?? Maana binti ninae mmoja na Benny ndio mkwe wangu.
Huyo huyo Mkwe. Mbona wanigeuka Mkwe
 
Marahabaaaa!!We mtoto mbona hizi shikamoo zimekuwa nyingi? Unataka kuomba nini?

Alafu mie mkweo kuanzia lini na kwanani?? Maana binti ninae mmoja na Benny ndio mkwe wangu.
Unapendaga kujizeesha acha upewe, shikamoo dada
 
Akuuu sikutambui jamani, mie namtambua mkwe wangu mmoja tu, hayo mengine nawaachia wenyewe.
Ila mwanao ananipenda kufa.
Hali halali KWA ajili yangu

Acha moyo wake usukume mahaba. Ahlan Wasahlan
 
Basi hayo ni yenu mie sitaki kuyajua, aloniletea ndio namtambua.
And ofcoz mwanangu namfahamu.
 
Kameenda vizuri sana na ndio kameisha hivyo!! Tukaanze tena na stress za watoto wetu.
Mnafanya kazi njema sana, mmetufungua akili na wengine wakawa viranja wa nchi
 
Basi hayo ni yenu mie sitaki kuyajua, aloniletea ndio namtambua.
And ofcoz mwanangu namfahamu.
Mkwe kwani Ben anakununulia ugoro?!

Mkwe unapenda mkufu wa dhahabu au almasi.
 
Back
Top Bottom