Born town vs born village

Born town vs born village

enock yusto

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2014
Posts
377
Reaction score
341
hivi ni kwanini watu wengi waliozaliwa vijijini wakijaga mjuni huwa ni wajuaji hawapendi kujionyesha kama wametokea village ni kiswahili uwa wanabadili hali inayopelekeaga vitu vingine wabug step na kuaibika,tabia hii wanayo sana watu kutoka kanda ya ziwa,m najiulizaga sana au kuzaliwa kijijini ni vibaya?au watu waliozaliwa mjini wakiendaga vijijini nao hujionyesha kwamba ni wa mjini?
 
Ni kutojitambua tu, laiti wakijielewa wataacha.

Na takwimu yako siyo wa kanda ya ziwa tu, ni takribani mikoa yote.

Ahsante!
 
hivi ni kwanini watu wengi waliozaliwa vijijini wakijaga mjuni huwa ni wajuaji hawapendi kujionyesha kama wametokea village ni kiswahili uwa wanabadili hali inayopelekeaga vitu vingine wabug step na kuaibika,tabia hii wanayo sana watu kutoka kanda ya ziwa,m najiulizaga sana au kuzaliwa kijijini ni vibaya?au watu waliozaliwa mjini wakiendaga vijijini nao hujionyesha kwamba ni wa mjini?
Wewe umezaliwa mjini au shamba??
 
nakumbuka jamaa flani limetoka mkoa kuja dar likata kw enda karume daah kufika kule siakajikuta much know kama born here here vile

walimchapa boxer akanunua kwa elf 10, vest elfu 12 alafu kijeba nikauchubua kama sio mm, yan kama nilikua nacheki muvi flan
 
Ukiwa wa-village..zile chembechembe huwa hazitokagi hata ufanyaje. Ni kama uzaliwe mhaya au mchaga kuna namna tu kale kalafudhi ka upande huo hakaondoki hata ukae ulaya miaka laki..hahahhaaa
 
The vise versa is true! Wa kijijini wakienda mjini hujifanya wajuaji na wa mjini wakienda kijijini hujifanya wa mjini. Lakini hayo yote hayana maana kwa mtazamo wangu, kinachomata unajua kutafuta hela? Waliotoka bush wakaja mjini na kufanikiwa ki maisha huwa nawaona wana akili nyingi sana kuliko waliotoka mjini wakaja kuwekeza vijjjini na kufanikiwa kimaisha. Kitu cha kuzingatia ni kuangalia maisha umeyapatia hata kama umetoka bush? Zile element za ushamba shamba huwa hazipotei haraka labda uwe fast lerner sana
 
Kwa upande wa Bk sababuni olweshonga nshomile kama hutokei uko hutaelewa
 
Back
Top Bottom