enock yusto
JF-Expert Member
- May 28, 2014
- 377
- 341
hivi ni kwanini watu wengi waliozaliwa vijijini wakijaga mjuni huwa ni wajuaji hawapendi kujionyesha kama wametokea village ni kiswahili uwa wanabadili hali inayopelekeaga vitu vingine wabug step na kuaibika,tabia hii wanayo sana watu kutoka kanda ya ziwa,m najiulizaga sana au kuzaliwa kijijini ni vibaya?au watu waliozaliwa mjini wakiendaga vijijini nao hujionyesha kwamba ni wa mjini?