enock yusto
JF-Expert Member
- May 28, 2014
- 377
- 341
Wewe umezaliwa mjini au shamba??hivi ni kwanini watu wengi waliozaliwa vijijini wakijaga mjuni huwa ni wajuaji hawapendi kujionyesha kama wametokea village ni kiswahili uwa wanabadili hali inayopelekeaga vitu vingine wabug step na kuaibika,tabia hii wanayo sana watu kutoka kanda ya ziwa,m najiulizaga sana au kuzaliwa kijijini ni vibaya?au watu waliozaliwa mjini wakiendaga vijijini nao hujionyesha kwamba ni wa mjini?
m shamba ila nimekulia mjini ila popote kambi maisha yote nayaweza kiongoziWewe umezaliwa mjini au shamba??
upo?!Wewe umezaliwa mjini au shamba??
We umezaliwa mjini au mashambani?upo?!
We umezaliwa mjini au mashambani?
Kwamba ukizaliwa mjini ndio umepata tiketi ya kwenda mbunguni?Amini nakwambia, kila utakaye muuliza atakujibu kwamba amezaliwa mjini!.