PreGE2025 Borondo Zacharia Chacha, achukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kigamboni

PreGE2025 Borondo Zacharia Chacha, achukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kigamboni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Borondo Zacharia Chacha, amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kigamboni.

Akizungumza baada ya kuchukua fomu, Chacha amesema hatua hiyo ni dhamira yake thabiti ya kulinda maslahi ya wananchi wa Kigamboni na kuleta mabadiliko chanya katika kila sekta ya maendeleo.

Jimbo la Kigamboni halikuwa na muwakilishi bungeni tangu kufariki kwa aliekuwa mbunge wake, Dkt Faustine Ndugulile
1751130636570.png
 
Back
Top Bottom