Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Kwa soka la uhakika walilokuwa wanalitandaza hawa jamaa, inasikitisha kuona walitoka bila taji la UCL. Hii ni picha ya kikosi iliyopigwa dakika kadhaa kabla ya Fainali ya Uefa Champions League msimu wa 2012/2013 iliyofanyika kwa Malkia pale Wembley jijini London.
Unakikumbuka kikosi hiki?
Unakikumbuka kikosi hiki?