ni ya wapi na msimamo inasomeka vipi?
ni ya wapi na msimamo inasomeka vipi?
Kuangalia BvB wakifunga magoli mawili ndani ya dk 3' za nyongeza kunanifanya nisijute kufall in love na the beautiful game, Soccer in noma.
Ndio raha ya mpira, ni juhudi za kupigana hadi mwisho
Ktk 4 zilizobakia hawa BVB ndio vibonde,na wasiombe wacheze na aidha Real Madrid au Barca watapigwa home and away,nafuu yao wakutane na Bayern Munich maana waswahili wanasema waarabu wa pemba wanajuana kwa vilemba,ndio wanaweza kupona labda.BvB ndio wanaweza kuwa mabingwa wa champions league mcmu huu maana coni timu ya kuwazuia wacchukue kombe labda Barcelona
Ktk 4 zilizobakia hawa BVB ndio vibonde,na wasiombe wacheze na aidha Real Madrid au Barca watapigwa home and away,nafuu yao wakutane na Bayern Munich maana waswahili wanasema waarabu wa pemba wanajuana kwa vilemba,ndio wanaweza kupona labda.
Kumbuka BvB katika makundi walikutana na Madrid ilkuwaje? unajua. Hapa vibonde ni Barca tu ndio wanaoweza kufungika kirahisi ni one man team, ilikuwa proved jana walipokutana na PSG
Kumbuka 2000 ktk makundi Bayern Munich alimfunga Real Madrid 4-1 kule Munich na 4-2 kule Madrid kiasi Iker Casillas Fernandez kipindi hiki akiwa na miaka 18 alisakamwa kama anavyosakamwa leo David de Gea Quinton pale Man Utd kwa magoli ya kizembe,wakaja kukutana nusu fainali huku Real robo final imemtoa Man UTd,Bayern alikula 2-0 kule Bernebeu Stadium,marudiano Bayern akashinda 2-1 wakatoka Bayern kwa jumla ya 3-2 Nicolas Anelka mnamo dk 75 bao lake ndio liliwatoa Bayern Munich na Real Madrid kuingia Fainali kule Paris na kuwachapa Valencia CF na mashabiki wao wakiongozwa na mpiga ngoma wao aliefunga baa wakati huo Manolo El Del Bombo kwenda kuwasapoti CF Valencia wakala 3-0,so hawa BvB wasikumbuke makundi tu,wakumbuke pia ndg zao Bayern Munich walifanywa nini ktk hatua ya nusu fainali 2000 UCLKumbuka BvB katika makundi walikutana na Madrid ilkuwaje? unajua. Hapa vibonde ni Barca tu ndio wanaoweza kufungika kirahisi ni one man team, ilikuwa proved jana walipokutana na PSG
Kumbuka 2000 ktk makundi Bayern Munich alimfunga Real Madrid 4-1 kule Munich na 4-2 kule Madrid kiasi Iker Casillas Fernandez kipindi hiki akiwa na miaka 18 alisakamwa kama anavyosakamwa leo David de Gea Quinton pale Man Utd kwa magoli ya kizembe,wakaja kukutana nusu fainali huku Real robo final imemtoa Man UTd,Bayern alikula 2-0 kule Bernebeu Stadium,marudiano Bayern akashinda 2-1 wakatoka Bayern kwa jumla ya 3-2 Nicolas Anelka mnamo dk 75 bao lake ndio liliwatoa Bayern Munich na Real Madrid kuingia Fainali kule Paris na kuwachapa Valencia CF na mashabiki wao wakiongozwa na mpiga ngoma wao aliefunga baa wakati huo Manolo El Del Bombo kwenda kuwasapoti CF Valencia wakala 3-0,so hawa BvB wasikumbuke makundi tu,wakumbuke pia ndg zao Bayern Munich walifanywa nini ktk hatua ya nusu fainali 2000 UCL