Kumbuka 2000 ktk makundi Bayern Munich alimfunga Real Madrid 4-1 kule Munich na 4-2 kule Madrid kiasi Iker Casillas Fernandez kipindi hiki akiwa na miaka 18 alisakamwa kama anavyosakamwa leo David de Gea Quinton pale Man Utd kwa magoli ya kizembe,wakaja kukutana nusu fainali huku Real robo final imemtoa Man UTd,Bayern alikula 2-0 kule Bernebeu Stadium,marudiano Bayern akashinda 2-1 wakatoka Bayern kwa jumla ya 3-2 Nicolas Anelka mnamo dk 75 bao lake ndio liliwatoa Bayern Munich na Real Madrid kuingia Fainali kule Paris na kuwachapa Valencia CF na mashabiki wao wakiongozwa na mpiga ngoma wao aliefunga baa wakati huo Manolo El Del Bombo kwenda kuwasapoti CF Valencia wakala 3-0,so hawa BvB wasikumbuke makundi tu,wakumbuke pia ndg zao Bayern Munich walifanywa nini ktk hatua ya nusu fainali 2000 UCL