Borussia Dortmund kama Yanga, wapata mdhamini mpya lakini hawataki rangi nyekundu ya mdhamini huyo

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,709
Reaction score
10,896
Klabu ya Borussia Dortmund ya Ujerumani imepata mdhamini mpya ambao ni kampuni ya Vodafone.

Kampuni hiyo hutumia rangi nyekundu.

Sasa Dortmund wamegomea rangi hizo nyekundu za mdhamini na kuwataka watumie rangi ya njano kama ilivyo jezi yao.

Ikumbukwe rangi nyekundu waliogomea Dortmund huwa inatumiwa na wapinzani wao Bayern Munich
 
Safi sana.
 
Safi sana.
 
Nimeng'amua haya mambo yapo kwenye vilabu vingi ni vile hatuna maarifa nayo. Hata Kaizer Chiefs, Orlando Pirates na Man United walikuwa wanatumia logo ya Team viewer ambayo sio rangi yake halisi
 
Hata Gsm nembo yake ina rangi nyekundu.. ila kwa yanga wameondoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…