Dalili zipo?To the finale
Daahh, hili zali inaweza kuwaangukia BVB.Asilimia 69 Sheikh
you are rightWanatoka hamna namna
mpe 100% nikiicheki hii psg sio level ya big 5 hata kwa arsenal hagusiMpaka dakika hii uhakika wa Borussia Dortmund kufuzu ni 80%
Kabisa, Timu haina Hata Mipango 😀mpe 100% nikiicheki hii psg sio level ya big 5 hata kwa arsenal hagusi
wajipange kwa msimu ujao
Dortmund's tactical defense must be studied ni balaaWanaongoza Kila Kitu, Ila Wamekung'utwa