The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Kabisa aisee ,Afu wengi wakiona team imepewa ods ndogo ndio wanaifuata.Kanji alitegemea jamaa watashinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa aisee ,Afu wengi wakiona team imepewa ods ndogo ndio wanaifuata.Kanji alitegemea jamaa watashinda
Man utd wanateseka
Na akibeba kombe watapata tabu sana 😂😁Wakimuona Jadon wanapita kimya kimya
Huyu jamaa anajua sana kukaba Toka namuona kwenye kombe la Dunia 2014 ni balaa huyuHammers (35) amekua man of the match kwenye game zote mbili dhidi ya PSG
View attachment 2983989
Hii haina majina makubwa ila wanacheza kitimu mzeeDortmund hii kali sana kuliko ile ya klopp