ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Madrid kwaheriKwenye Beting Madrid kapewa 1.91 Bayern kapewa 3.75 ods.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madrid kwaheriKwenye Beting Madrid kapewa 1.91 Bayern kapewa 3.75 ods.
Mmerudi tena wembley
Hastaafu ila amaeomba kuondoka BVB kwenda timu nyingineMarcus Reus mchezo wa fainali ya ligi ya mabingwa ulaya utakua mchezo wake wa mwisho baada ya kuomba kutundika daruga kwenye soka
View attachment 2983990
Hongera sana kwa BVB, nia wanayo ngoja tuone kama watawakalisha Bayern/MadridTayari huko ngoja tusubiri hawa wengine
Yoyote aje yellow wall tumetulia tuu😂Tunaomba Bayern wafuzu... pale Wembley itakua ni usiku wa kisasi
Kwel mtu unapigiwa kelele mpaka unabaaYanga ilibidi wafanye hivi walipoingia fainali ya kombe la shirikisho kwa mara ya kwanza msimu uliopita
Carra amesema Man U are very poorly coached team.Ukimuona Sancho huku unajua Man U pana shida...
Shida ni Management ngoja tuone msimu ujaoCarra amesema Man U are very poorly coached team.
Hivi PSG amewahi kuwashinda Dortmund ?Ndio hivyo mkuu mtu asingetegemea BVB kushinda ugenini