MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,455
- 1,473
Huu Ukuta Sio Wa Kitoto Aisee! Jamaa Wanajua KuzuiaDortmund's tactical defense must be studied ni balaa
2023/2024 ni UEFA champions league yenye matokeo ya kushangaza, jitahidi usiingie uwanjani na matokeo ya kukariri kama Makolokolo.PSG kama Mamelody, kapigwa nje ndani! Kesho Madrid waokoe jahazi sitaki kuangalia Bundesliga kwenye UEFA mie.
Kesho Bayern hatoki aisee anapigwa,PSG kama Mamelody, kapigwa nje ndani! Kesho Madrid waokoe jahazi sitaki kuangalia Bundesliga kwenye UEFA mie.
Sasa Makolo huku tumefuata nini jamani,mbona mnatunyanyasa,2023/2024 ni UEFA champions league yenye matokeo ya kushangaza, jitahidi usiingie uwanjani na matokeo ya kukariri kama Makolokolo.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Yani kama ulikuwa ndani yakichwa changu nimetoka kum relate psg na mamelodi sasa hiviPSG kama Mamelody, kapigwa nje ndani! Kesho Madrid waokoe jahazi sitaki kuangalia Bundesliga kwenye UEFA mie.
wako highly overatedPSG wana gundu na hili kombe
Ila PSG Alipewa 1.43 BVB akapewa 5.5 duuhKwenye Beting Madrid kapewa 1.91 Bayern kapewa 3.75 ods.