aliekatakamba humutuu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 341
- 714
tafuteni hela acheni kupanikiHebu acha ushenzi wako. Mbele za watu. Hana utu ulimuumba wew? Na huo ubosi unajua kesho yake? Ni akili gani hizi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tafuteni hela acheni kupanikiHebu acha ushenzi wako. Mbele za watu. Hana utu ulimuumba wew? Na huo ubosi unajua kesho yake? Ni akili gani hizi?
USITOE MACHOZI TOA VYETI KAMA SISI TULIVYOHAKIKIWA .HAKI SAWA KWA WOTE:Akuanzae usimche akuanze
Utabambikwa kesi ,Hebu malizana nae mapema make meza moja
Tutaanza kutafuta tukimaliza tumia hizi zako tunazotumia kila leo Hapa Town maana zilikuwa nyingi ajabu. Choooo😏😏tafuteni hela acheni kupaniki
mrembo acha makasiriko njoo nikupe helaTutaanza kutafuta tukimaliza tumia hizi zakp tunazotumia kila leo Hapa Town maana zilikuwa nyingi ajabu. Choooo😏😏
😄😄 Alikuwa anakutaka hapo ndo mlipishana.Hata kutongoza mwenyewe hajui, kila weekend anauliza sasa weekend inakuwaje?
Mpongeze sasa owner amege kidogoHuyu boss nahisi ana pepo wachafu. Issue ilikiwa hivi, tarehe 19 aliniita ofisini kwake, akasema anataka tufanye mahesabu ya madai yangu yote.
Tulipomaliza kufanya mahesabu, akanipa mshahara wangu na kuniambia akinihitaji ataniita. Kwa kuwa nililetwa hapo na mwenye kampuni, naye alikuwa ameniajiri na kunikabidhi kwa HR ili waniandalie mkataba.
Ni zaidi ya miezi sita sasa, HR hawajanipa mkataba wangu, wanasingizia hadi aje owner ambaye muda mwingi yuko kwao Sweden.
Basi nilipopewa mazaga yangu nikarudi home kukaa, juzi nikaona nimjulishe owner kwamba nimeondolewa kazini bila sababu yoyote.
Leo owner kampigia simu boss kumuuliza kwanini kaniondoa?/boss akajibu eti mimi nina matatizo ya kifamilia tena makubwa ila uakipungua atanirudisha.
Owner aliponieleza hayo nikashangaa sana kwani mimi familia yangu ina amani sana.
Owner kuniambia kwamba nimjulishe boss kwamba nimesha maliza mtatizo jumatatu nipo tayari kwa kazi.
boss kamaindi sana.
Kakasirika haswa ila atafanyeje!
Mara kwa mara ninapowaambia tatizo na adui mkubwa wa Watanzania ni ujinga, hamnielewi.Huyu boss nahisi ana pepo wachafu. Issue ilikiwa hivi, tarehe 19 aliniita ofisini kwake, akasema anataka tufanye mahesabu ya madai yangu yote.
Tulipomaliza kufanya mahesabu, akanipa mshahara wangu na kuniambia akinihitaji ataniita. Kwa kuwa nililetwa hapo na mwenye kampuni, naye alikuwa ameniajiri na kunikabidhi kwa HR ili waniandalie mkataba.
Ni zaidi ya miezi sita sasa, HR hawajanipa mkataba wangu, wanasingizia hadi aje owner ambaye muda mwingi yuko kwao Sweden.
Basi nilipopewa mazaga yangu nikarudi home kukaa, juzi nikaona nimjulishe owner kwamba nimeondolewa kazini bila sababu yoyote.
Leo owner kampigia simu boss kumuuliza kwanini kaniondoa?/boss akajibu eti mimi nina matatizo ya kifamilia tena makubwa ila uakipungua atanirudisha.
Owner aliponieleza hayo nikashangaa sana kwani mimi familia yangu ina amani sana.
Owner kuniambia kwamba nimjulishe boss kwamba nimesha maliza mtatizo jumatatu nipo tayari kwa kazi.
boss kamaindi sana.
Kakasirika haswa ila atafanyeje!
Ilitakiwa akutongozajeHata kutongoza mwenyewe hajui, kila weekend anauliza sasa weekend inakuwaje?
[emoji23] eeh mbona povuuna utu gani wewe mjinga tuu.siungekua bosiwewe
😀😀 naona madingi mnazinguanaThe Boss acha unyanyapaa
Piga kazi. Sema boss kama ni dume kaona hutaki kutoa utamu. Au kama ni jike kaona unaweza muibia mautamu yake.Huyu boss nahisi ana pepo wachafu. Issue ilikiwa hivi, tarehe 19 aliniita ofisini kwake, akasema anataka tufanye mahesabu ya madai yangu yote.
Tulipomaliza kufanya mahesabu, akanipa mshahara wangu na kuniambia akinihitaji ataniita. Kwa kuwa nililetwa hapo na mwenye kampuni, naye alikuwa ameniajiri na kunikabidhi kwa HR ili waniandalie mkataba.
Ni zaidi ya miezi sita sasa, HR hawajanipa mkataba wangu, wanasingizia hadi aje owner ambaye muda mwingi yuko kwao Sweden.
Basi nilipopewa mazaga yangu nikarudi home kukaa, juzi nikaona nimjulishe owner kwamba nimeondolewa kazini bila sababu yoyote.
Leo owner kampigia simu boss kumuuliza kwanini kaniondoa?/boss akajibu eti mimi nina matatizo ya kifamilia tena makubwa ila uakipungua atanirudisha.
Owner aliponieleza hayo nikashangaa sana kwani mimi familia yangu ina amani sana.
Owner kuniambia kwamba nimjulishe boss kwamba nimesha maliza mtatizo jumatatu nipo tayari kwa kazi.
boss kamaindi sana.
Kakasirika haswa ila atafanyeje!
Lucas Mwashambwa ni nduguyo?Nimeusoma huu Uzi, nafanya kuwajuza tu.
Utapigwa kata funua moja matata🤣🤣Wananiogopa, huu ndio mwanzo wa kurogwa