Bosi alinisimamisha kazi bila sababu yoyote. Leo anamwambia mwenye kampuni kwamba nina matatizo ya kifamilia

Mpongeze sasa owner amege kidogo
 
Hapa kuna hoja "aliniita ofisini kwake akasema anataka tufanye mahesabu ya madai yangu yote"
Je, alikuita wewe tu?
Kama ndiyo, unadhani kwanini?
Kwa kukulipa madai yako yote inaashiria alitaka upate stahiki zako zote lakini inaonesha kuna stori kabla ya tarehe 19.
 
Mara kwa mara ninapowaambia tatizo na adui mkubwa wa Watanzania ni ujinga, hamnielewi.

Kuna siku mtanielewa tu.
 
Matatizo.ya kifamilia nayo yakizidi mtu kufukuzwa kazi ruksa

Huyo mzungu naye analea ujinga ingekuwa mimi ndiye huyo mzungu ningekuambia tu malizana nao huko huko niliowaacha nawaamini walilloamua ndio hilo hilo
 
Piga kazi. Sema boss kama ni dume kaona hutaki kutoa utamu. Au kama ni jike kaona unaweza muibia mautamu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…