Bosi anatembea na Mke wangu

Bosi anatembea na Mke wangu

Ni ccm au ostabey
downloadfile.jpg
 
Huyo sio mke ni kahaba.

Kama safari zina maslahi wewe endelea nazo tu.

Papa zipo nyingi, muachie Boss gube gube hilo.
 
Kwa hili isiyo ya kawaida nimebaini Bosi wangu anatembea na mke wangu .
Bosi amekuwa akinipa safari za kikazi mara kwa mara mikoani kumbe anaitumia hii nafasi kutembea na mke wangu.
ofisi yako ina mwanamke mmoja tu? tumlaumu boss au mkeo kwa kukubali?
 
Sijui kwa nini watu wanapenda maugomvi mpaka kuchukua wake wa watu. Kwani wanawake wameisha. Mapenzi yanaweza kuua mtu eti. Huyo boss wako mfanyie mpango umroge, ukimroga mtu mwenye kosa uchawi unanasa hata kama amejiganga!

Ukitaka uishi kwa uhuru humu duniani, usidhulumu cha mtu, usitembee na mwanafunzi, wala mke wa mtu!
 
Dj, Dj,Dj....

Mlete mleta mada na Nyimbo ya Ferooz-mkasa wa Boss.

Ila usipige zile chikichiki maana anasema anataka aisikilize kwa umakini
 
Back
Top Bottom