Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku zote kitu cha mwenzako kinakuwa kizuri kuliko chako au kisicho na mmilikiSijui kwa nini watu wanapenda maugomvi mpaka kuchukua wake wa watu. Kwani wanawake wameisha. Mapenzi yanaweza kuua mtu eti. Huyo boss wako mfanyie mpango umroge, ukimroga mtu mwenye kosa uchawi unanasa hata kama amejiganga!
Ukitaka uishi kwa uhuru humu duniani, usidhulumu cha mtu, usitembee na mwanafunzi, wala mke wa mtu!
Subiri kuambiwa TAFTA HELAKwa hili isiyo ya kawaida nimebaini Bosi wangu anatembea na mke wangu .
Bosi amekuwa akinipa safari za kikazi mara kwa mara mikoani kumbe anaitumia hii nafasi kutembea na mke wangu.
Nakazia hapo akague marinda ya mkewe kabisaUme check marinda ya mkeo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkeo njaa kali kuanzia kichwani hadi tumboni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dj, Dj,Dj....
Mlete mleta mada na Nyimbo ya Ferooz-mkasa wa Boss.
Ila usipige zile chikichiki maana anasema anataka aisikilize kwa umakini
Ukiendelea kuwa Zoba hivi kuna Siku ataomba pia Kutembea na Wewe.Kwa hili isiyo ya kawaida nimebaini Bosi wangu anatembea na mke wangu .
Bosi amekuwa akinipa safari za kikazi mara kwa mara mikoani kumbe anaitumia hii nafasi kutembea na mke wangu.
Tupo pamoja,,,kwanza ingekuwa kweli lazima kungekuwa na maelezo ya ziadaMmmh hili changa hili huu mwandiko sio wa mtu aliesalitiwa