Bosi anatembea na Mke wangu

Bosi anatembea na Mke wangu

Hahaha😂😂😂 umenikumbusha ngoma moja ya ferooz inaitwa mkasa wa boss ,any way kama anachukua mke wako fanya juhudi zote na wewe uchukue mke wake.
 
Sijui kwa nini watu wanapenda maugomvi mpaka kuchukua wake wa watu. Kwani wanawake wameisha. Mapenzi yanaweza kuua mtu eti. Huyo boss wako mfanyie mpango umroge, ukimroga mtu mwenye kosa uchawi unanasa hata kama amejiganga!

Ukitaka uishi kwa uhuru humu duniani, usidhulumu cha mtu, usitembee na mwanafunzi, wala mke wa mtu!
Siku zote kitu cha mwenzako kinakuwa kizuri kuliko chako au kisicho na mmiliki
 
📌📌📌📌📌📌📌📌

Screenshot_20240707_171343_Gallery.jpg
 
Kwa hili isiyo ya kawaida nimebaini Bosi wangu anatembea na mke wangu .
Bosi amekuwa akinipa safari za kikazi mara kwa mara mikoani kumbe anaitumia hii nafasi kutembea na mke wangu.
Ukiendelea kuwa Zoba hivi kuna Siku ataomba pia Kutembea na Wewe.
 
Back
Top Bottom