ofisi yako ina mwanamke mmoja tu? tumlaumu boss au mkeo kwa kukubali?Kwa hili isiyo ya kawaida nimebaini Bosi wangu anatembea na mke wangu .
Bosi amekuwa akinipa safari za kikazi mara kwa mara mikoani kumbe anaitumia hii nafasi kutembea na mke wangu.