DP World imemfukuza kazi Sultan Ahmed bin Sulayem kutokana na madai ya mfanyabiashara huyo kuwa na uhusiano na Epstein

DP World imemfukuza kazi Sultan Ahmed bin Sulayem kutokana na madai ya mfanyabiashara huyo kuwa na uhusiano na Epstein

Ozon

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2024
Posts
2,910
Reaction score
4,711
DP World, kampuni ya kimataifa ya usafirishaji na usimamizi wa mizigo inayomilikiwa na Falme za Kiarabu (UAE), imemwondoa Sultan Ahmed bin Sulayem katika nafasi ya mwenyekiti na mtendaji mkuu kufuatia uchunguzi mkali kuhusu urafiki wake na marehemu Jeffrey Epstein.

Kampuni hiyo Ijumaa ilimteua Essa Kazim kuwa mwenyekiti na Yuvraj Narayan kuwa mtendaji mkuu katika taarifa ambayo haikumtaja Sulayem. Haijulikani kama ataendelea kubaki ndani ya kampuni hiyo katika nafasi nyingine.

Sulayem, mwenye umri wa miaka 71, alikuwa mwenyekiti wa DP World tangu mwaka 2007 na mtendaji mkuu tangu 2016. Kampuni hiyo hushughulikia takribani 10% ya biashara ya makontena duniani.

Barua pepe zilizotolewa na Idara ya Haki ya Marekani (US Department of Justice) zilionyesha kuwa Sulayem alikuwa na uhusiano wa kikazi na binafsi wa muda mrefu na Epstein uliodumu kwa miongo kadhaa.

Barua pepe hizo zinaanzia mwaka 2007 hadi wiki chache kabla ya kifo cha Epstein gerezani mwezi Agosti 2019. Nyingi ya barua pepe hizo zilitumwa baada ya mfadhili huyo wa kifedha wa Marekani kutiwa hatiani mwaka 2008 kwa kosa la kuomba ngono kutoka kwa mtoto.
 

​

Dubai CEO named in Epstein files resigns from DP World​

Story by Omar Abdel-Baqui

DUBAI—DP World Chairman and Chief Executive Sultan Ahmed Bin Sulayem resigned from the Dubai-based global ports operator Friday, after documents released by the Justice Department showed he had ties to convicted sex offender Jeffrey Epstein.

==

Mkuu wa Kampuni kubwa ya uendeshaji wa bandari duniani DP World amebadilishwa kufuatia kufichuliwa kwa uhusiano na muhalifu wa ngono Jeffrey Epstein.

Sultan Ahmed bin Sulayem, anakabiliwa na uchunguzi baada ya nyaraka kuonesha mawasiliano yake na Jeffrey Epstein yakiwemo matusi na mazungumzo ya kimapenzi.

Bila kumtaja kwa jina, DP World ilitangaza kuwa imepata mwenyekiti na mkurugenzi mtendaji mpya, nafasi alizokuwa anashikilia bin Sulayem.

Sultan Ahmed bin Sulayem, alikuwa anaongoza DP World huko Dubai kwa miongo mingi, anakabiliwa na uchunguzi baada ya kutolewa kwa nyaraka zinazohusiana na Epstein.

Mabadiliko ya uongozi yamefanywa baada ya kampuni za kimataifa kuanza kuvunja uhusiano na DP World kufuatia kutolewa kwa nyaraka mpya za Epstein.

Epstein aliyejinyonga Agosti 2019 akiwa katika gereza moja la New York alipokuwa akishikiliwa kwa tuhuma za kujihusisha kingono na watoto nyumbani kwake.
 
Huyu jamaa amekuwa mwenyekiti tangu mwaka 2007, kisha mtendaji mkuu kuanzia mwaka 2016. Mabadiliko haya ya ghafla yanaweza kuathiri maslahi ya baadhi ya wanasiasa na wafanyabiashara duniani, ikiwemo Tanzania. Ngoja tuone.
 
Biashara ya Epstein:
Kuuza ngono kwa kuwatumia watoto wadogo, wengine miaka 13.

Wateja
Wafalme(Prince Andrew)
Marais wa nchi tajiri(Trump, Clinton)
Wafanya biashara wakubwa(Bill Gates- hadi akaambukizwa kisonono )
Watu maarufu( Michel Jackson, P Didy)

Epstein alikuwa jasusi wa Mossad, katika madanguro yake aliweka spy camera na kumteka picha kila mgeni wake.
Hapo tayari mtu huyo maarufu yuko blackmailed kama kuku aliyekula punje ya hindi lililowekewa uzi au samaki aliyekula ndoano.

Sasa Mossad ina dictate terms za picha ilizonazo.
 
Biashara ya Epstein:
Kuuza ngono kwa kuwatumia watoto wadogo, wengine miaka 13.

Wateja
Wafalme(Prince Andrew)
Marais wa nchi tajiri(Trump, Clinton)
Wafanya biashara wakubwa(Bill Gates- hadi akaambukizwa kisonono )
Watu maarufu( Michel Jackson, P Didy)

Epstein alikuwa jasusi wa Mossad, katika madanguro yake aliweka spy camera na kumteka picha kilamgeni wake.
Hapo tayari mtu huyo maarufu yuko blackmaid kama kuku aliyekula punje ya hindi lililowekewa uzi au samaki aliyekula ndoano.

Sasa Mossad ina dictate terms za picha ilizonazo.
S'ashakufa lakini, mbona unamuongelea kama mtu hai?
 
TOKA MAKTABA:

AHADI KIBAO KEDEDE ZA HUYU MUHUNI


22 October 2023
Dodoma, Tanzania
Sultan Ahmed bin Sulayem - DP World to inject over US$ 250 million following the successful signing of Concessions to run upgrade the Dar es Salaam port.

View: https://m.youtube.com/watch?v=g2LU6TtSTos
Today marks a special day between Tanzania and DP World. It is a milestone and a significant step working together to upgrade the port of Dar es Salaam to eliminate the delays and make the port of Dar es Salaam a major hub to serve the region for example the copperbelt region in the southern region of this part of Africa.

After a long talks, the government of Tanzania and world giant harbour operator based in Dubai, DP World managed to iron out legal and political issues that were threatening to delay the project.

Sultan Ahmed bin Sulayem outlined DP World to use the Dar es Salaam port geo-strategic location which were recognised by traders centuries ago to trade with hinterlands of Great lakes and southern African region of Africa through Tanzania.

With thousands of kilometers roads and railway networks linking Tanzania with neighbouring countries which brought challenges on how to speed up the port operations and efficiency on handling goods coming in and going out of the harbour so as to meet customer demands who have options to use other ports in the region.

Tanzania being a signatory of The African Continental Free Trade Area (AfCFTA), East African Community and SADC will ease up the movement of goods within this region and Africa at large.

On that note,Tanzania decided to lookout for partners who can run the ports more efficiently and thus DP World came in, and today's singing is ushering the new beginning of Tanzania positioning itself as a major hub for international trade via High seas.

Sultan Ahmed bin Sulayem the Group Chairman and Chief Executive Officer of DP World and the Chairman of the Ports, Customs & Free Zone Corporation said, DP World and Tanzania Ports Authority are looking forward for Dubai port and other major ports around the world to work together with Dar es Salaam port on the ship to ship transhipment and regional logistics business.
 
1770992185999.jpeg

Sultan Ahmed bin Sulayem the Group Chairman and Chief Executive Officer of DP World and the Chairman of the Ports, Customs & Free Zone Corporation
 
Biashara ya Epstein:
Kuuza ngono kwa kuwatumia watoto wadogo, wengine miaka 13.

Wateja
Wafalme(Prince Andrew)
Marais wa nchi tajiri(Trump, Clinton)
Wafanya biashara wakubwa(Bill Gates- hadi akaambukizwa kisonono )
Watu maarufu( Michel Jackson, P Didy)

Epstein alikuwa jasusi wa Mossad, katika madanguro yake aliweka spy camera na kumteka picha kilamgeni wake.
Hapo tayari mtu huyo maarufu yuko blackmaid kama kuku aliyekula punje ya hindi lililowekewa uzi au samaki aliyekula ndoano.

Sasa Mossad ina dictate terms za picha ilizonazo.
Kwanini hao Mossad hakuweza kumlinda mtu wao?
 
Kwa undani na chaneli maarufu ya Mashariki ya Kati MEE

Bilionea wa UAE ni nani katika faili za Epstein? | MEE Live​


View: https://m.youtube.com/watch?v=gsspsA9AX70

Mwanasheria Mkuu wa Marekani Pam Bondi alitetea jinsi idara ya sheria (au DOJ) ilivyoshughulikia Faili za Epstein wakati wa kikao cha bunge siku ya Jumatano. Kikao hicho Kiligeuka kuwa pambano la kelele. Katikati ya mzozo huo kulikuwa na upunguzaji mkubwa na mara nyingi wenye makosa wa DOJ katika Faili milioni 3 za Epstein zilizotolewa mwezi uliopita - na uamuzi wao wa kuzuia milioni tatu zaidi.

Siku ya Jumatatu, wabunge watatu wa Marekani walipewa ruhusa ya kupata faili ambazo hazijafutwa kwa mara ya kwanza. Waliondoka na ukosoaji mkali kuhusu kile kilichofutwa. Hasa, utambulisho wa wanaume wenye ushawishi na nguvu duniani. "Kama tungepata majina ya wanaume sita ambao walikuwa wamewaficha katika saa mbili," Khanna alisema katika hotuba kwa Baraza la Wawakilishi siku ya Jumanne, "fikiria ni wanaume wangapi maarufu wenye ushawishi na nguvu wanaowaficha katika faili hizo milioni tatu."

Baadaye katika kipindi (show) cha televisheni kituo cha MEE tutazungumza na wakili aliyenusurika Janey Starling kuhusu kile ambacho faili hizo zinaelezea kuhusu haki ya kijinsia.

Kwanza, kituo cha televisheni chenye makao yake Mashariki ya Kati Middle East Eye MEE kimekuwa ikimchunguza mmoja wa "wanaume hao sita wenye ushawishi" waliotajwa.

Bilionea wa Falme za Kiarabu UAE anayehusishwa na uongozi wa viwango vya juu zaidi vya taifa la UAE. Baada ya kuona faili ambazo hazijafanyiwa marekebisho, mbunge wa Republican Thomas Massie aliandika kwenye X: "Hadi usiku wa leo hakuna mtu aliyejua ni nani aliyemtumia Epstein video ya mateso... sheria yetu inataka taarifa za M'ATHIRIWA zifanyiwe marekebisho, si taarifa za wanaume waliomtumia Epstein ponografia ya mateso!" "Video ya mateso" anayoirejelea ilikuwa chanzo cha usumbufu baada ya kutolewa kwa awali kujumuisha barua pepe iliyotumwa kutoka kwa Epstein mwaka wa 2009 ikisema "alipenda video ya mateso".

Mpokeaji alikuwa amefanyiwa marekebisho. Massie anadai mtumaji wa video ya mateso alikuwa Sultan Ahmed bin Sulayem. Ni jina linalojitokeza katika faili za Epstein zaidi ya mara 5,000. Nyenzo hiyo haionyeshi makosa ya jinai na Sulayem hajashtakiwa kwa uhalifu.

Lakini inatosha kusababisha matatizo makubwa si kwa Sulayem mwenyewe tu, bali pia moja ya kampuni kubwa zaidi za mizigo duniani DP World- na pia Falme za Kiarabu UAE
Source : Middle East Eye MEE
 
Who is UAE billionaire in the Epstein files? | MEE Live

2.5KLikes
84,264Views
February 12 2026


View: https://m.youtube.com/watch?v=gsspsA9AX70
US Attorney General Pam Bondi defended the justice department (or DOJ)’s handling of the Epstein Files during a congressional hearing on Wednesday.

It descended into a shouting match.At the heart of the dispute was the DOJ’s extensive and often erroneous redactions in the 3 million Epstein Files released last month– and their decision to withhold three million more.

On Monday, three US lawmakers were given access to unredacted files for the first time. They left with searing criticisms about what had been redacted. Specifically, the identities of powerful men.“If we found six men that they were hiding in two hours,” Khanna said in a speech to the House of Representatives on Tuesday, “imagine how many men they are covering up for in those three million files.

”Later on in the show we’ll be speaking to survivor advocate Janey Starling about what the files spell out about gender justice.First, MEE has been looking into one of the “six men” mentioned.

An Emirati billionaire linked to the highest levels of the UAE state. After seeing the unredacted files, Republican congressman Thomas Massie wrote on X:“Until tonight no one knew who sent the torture video to Epstein… our law requires VICTIM’s information to be redacted, not information of men who sent Epstein torture porn!”

“The torture video” he refers to was a cause for disturbance after the original release included an email sent from Epstein in 2009 saying “he loved the torture video”. The recipient had been redacted.

Massie claims the sender of the torture video was Sultan Ahmed bin Sulayem.It’s a name that comes up in the Epstein files more than 5,000 times. The material does not demonstrate criminal wrongdoing and Sulayem has not been charged with a crime.

But it is enough to cause serious potential problems not just for Sulayem himself, but one of the biggest cargo companies in the world– as well as the United Arab Emirates
 
Biashara ya Epstein:
Kuuza ngono kwa kuwatumia watoto wadogo, wengine miaka 13.

Wateja
Wafalme(Prince Andrew)
Marais wa nchi tajiri(Trump, Clinton)
Wafanya biashara wakubwa(Bill Gates- hadi akaambukizwa kisonono )
Watu maarufu( Michel Jackson, P Didy)

Epstein alikuwa jasusi wa Mossad, katika madanguro yake aliweka spy camera na kumteka picha kilamgeni wake.
Hapo tayari mtu huyo maarufu yuko blackmaid kama kuku aliyekula punje ya hindi lililowekewa uzi au samaki aliyekula ndoano.

Sasa Mossad ina dictate terms za picha ilizonazo.
Mlaleo hamis77 Echolima1
Mna maoni gani na hii post? Je ni sawa kulawiti vitoto ili tu ufanye blackmailing? Aisee
 
Back
Top Bottom